Tofauti kati ya marekesbisho "Kombe la Mataifa ya Afrika"

366 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
d
Fix langos and minor fixes using AWB
d (Fix langos and minor fixes using AWB)
{{forFor|the rugby tournament|Africa Cup}}
{{redirectRedirect|Cup of Nations|the football tournament in the Persian Gulf|Gulf Cup of Nations}}
{{ infoboxInfobox football tournament
| current =
| logo =
| founded = 1957
| number of teams = 16
{{wikinews|Egypt wins 2008 Africa Cup of Nations}}

'''Kombe la Mataifa ya Afrika,''' ni [[shindano]] kuu la kimataifa katika [[Afrika]]. Shindano hili husimamiwa na [[Confederation of African Football]] (CAF), na lilichezwa kwa mara ya kwanza mwaka wa [[1957]]. Tangu mwaka wa 1968, shindano hili hutendeka baada ya miaka miwli. Wabingwa wa [[FIFA Confederations Cup]] walifuzu katika shindano hili.

Katika mwaka wa 1957 kulikuwa na mataifa tatu yaliyoshiriki katika shindano hili ambayo ni: [[Misri]], [[Sudan]] na [[Ethiopia]]. [[Afrika ya Kusini]] walikuwa walikuwa washiriki katika shindano hili lakini walizuiwa kutokana na sera za [[ubaguzi]] hasa serikalini. <ref> http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm</ref> Tangu wakati huo, mchuano huu umeenea, na kusababisha michuano ya kufuzu. Idadi ya walioshiriki katikafainali ya shindano hili ilifika 16 katika mwaka 1998 (timu 16 zilikuwa zishiriki katika shinano hili mwaka wa 1996 lakini Nigeria walijitoa na kubakia timu 15), na tangu wakati huo, imebaki kuwa timu 61 ndizo zinashiriki katika shindano hili ,Timu hizi hugawanywa katika vikundi ambavyo kila kundi kina timu nne ambapo timu mbili bora katika kila kundi ndizozilifaulu katika hatua ya ya pili.

[[Misri]] ndiyo taifa iliyofanikiwa zaidi katika historia kombe hili kwani wana rekodi ya kushinda kombe hili mara sita. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameweza kunyakuwa ubingwa mara nne. Nyara tatu tofauti zimetunzwa katika historia ya shindano hili. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameshinda matoleo mawili ya kwanza baada ya kila timu kushinda shindano hili mara tatu mfululizo . Nyara iliyo sasa ilitunzwa mara ya kwanza mwaka wa 2002.

== Historia ==

== Historia ==

=== 1950-60:uenezaji wa shindano la ANC ===
Chimbuko la Kombe la Mataifa ya Afrika lilikuwa mnamo tarehe Juni 1956, wakati uumbaji wa Confederation of African Football ulipendekezwa katika mkutano wa tatu wa bunge la [[FIFA]] mjini [[Lisbon]]. Kulikuwa na mipango ya haraka kwa mashindano ya mataifa ya bara kufanyika, na mwaka wa 1957 mwezi wa Februari shindano la [[kwanza]] la [[Kombe la Mataifa ya Afrika]] lilifanyika mjini [[Khartoum]], [[Sudan]]. Hakukuwa na mechi za kufuzu katika shindano hili , kwani uwanja ulikuwa na mataifa manne ambao ndio wanzilishi wa CAF (Sudan, Misri, Ethiopia, na Afrika ya Kusini). kukataa kwa Afrika ya Kusini kupeleka kikosi [[chenye wachezaji wa rangi tofauti]] katika ushindani kulisababisha wao kuadhibiwa na Ehiopia iliweza kufuzu katika fainali . <ref name="BBC-began">
{{citeCite web
| url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm
| author=[[news.bbc.co.uk]]
| publisher=[[BBC]]
| title=African Nations Cup - How it all began
| accessdate=9 March 2007}}
</ref>
Kutokana na tukio hilo mechi mbili ndizo zilizochezwa na Misri kuwa bingwa wa kwanza katika bara baada ya kushinda Sudan katika nusu fainali na Ethiopia katika fainali. Miaka miwili baadaye, Misri ndiyo ilikuwa mwenyeji wa pili wa ANC mjini [[Cairo]] ambapo timu zile tatu ndizo zilishiriki .Kama mwenyeji na bingwa tetezi Misri iliweza kushinda baada ya kuwalaza sudan katika fainali.

Shinano hili lilienea na kuwa na timu tisa ambazo zilishiriki.Shindano hili la [[tatu]] la [[ANC mwaka 1962]]lilikuwa mjini [[Addis Ababa]], na kwa mara ya kwanza kulikuwa na mechi za kufuzu ambapo timu nne zilifuzu kupigania ubingwa. Ethiopia kama mwenyeji Misri kama bingwa tetezi zilipata fursa ya kufaulu mara moja, na kuungwa na Nigeria na Tunisia katika timu nne za mwisho zilizo waania ubingwa. Misri iliweza kucheza fainali kwa mara ya tatu lakini Ethiopia waliwezakushinda, baada ya kupiga Tunisia katika semifinali nakulaza Misri katika [[muda wa ziada]].

=== 1960: Ghana utawala ===
Katika mwaka 1963, [[Ghana]] ilishiriki kwa mara ya kwanza katika shindano hili , na iliweza kunyakua ushindi baada ya kuilaza Sudan katika fainali. iliweza kunyakuwa ubingwa miaka miwili baadaye katika [[Tunisia]] -ikisawazisha na Misri kama bingwa wa misimu miwili - na kikosi ambacho kilikuwa na wachezaji wawili tu kutoka timu ya 1963. <ref name="BBC-1957-1978">
{{citeCite web
| url=http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/3396199.stm
| author=[[news.bbc.co.uk]]
| publisher=[[BBC]]
| title=The early years
</ref>

[[katika shindano la 1968]] ilibidi mpango wa mchuano huo ubadilike na kuongeza hadi timu 8 zitakazo faulu kati ya timu 22 zilizofaulu katika raundi ya hapo awali. Timu zilizofaulu ziligawanyishwa katika makundi mawili kila kundi likiwa na timu nne ambazo zilicheza michezo ya mizunguko ambapo timu mbili bora zaidi katika kila kundi zilifaulu katika nusu fainali.Mfumo huu uliendelea kutumika katika fainali hadi mwaka wa 1992. [[Jamhuri]] ya [[Kidemokrasia ya Kongo]] iliweza kushinda baada ya kuwachapa Ghana. Kuanzia mwaka wa 1968 shindano hili limekuwa likitendeka baada ya miaka miwili katika miaka iliyo sawa. Mchezaji wa mbele wa Ivory Coast, [[Laurent Pokou]] aliongoza kwa mabao katika michuano ya 1968 na 1970 kwa mabao sita mwaka wa 1968 na mabao nane katika mwaka wa 1970 na kuwa na mabao 14 kwa jumla na kushikilia rekodi kwa muda hadi 2008. Shindano hili liliweza kuonyehwa katika runinga mara ya kwanza mwaka wa 1970 likiwa nchini Sudan, <ref name="BBC-1957-1978"/> ambayo iliweza kuchukua taji baaada ya kuwashinda Ghana- iliyokuwa ikicheza fainaili ya nne mfululizo.

=== 1970: muongo wa mabingwa ===
Kabla ya [[Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2008]] vilabu vya ulaya viliomba kuwe na mabadiliko katika ratiba hiyo. Kwani shindano hili hufanyikan wakati sawa na michuano ya ulaya ambapo wachezaji wao wengi hawachezi kwani wako katika timu zao za nyumbani Katika Januari mwaka wa 2008, rais wa FIFA Sepp Blatter alitangaza kwamba yeye alitaka shindano kufanyika aidha Juni au Julai 2016, ilikuwa sambamba na kalenda ya kimataifa. Hii itasababisha shindano hili kutofanyika nchi nyingi katika Afrika ya kati na magharibi (kwani miezi hii huwa msimu wa mvua) na kama shindano hili litakuwa likifanyika miaka ilito sawa basi itabidi shindano hili kuskumwa katika miaka isiyo sawa ili kusiwe na mgogngano na shindano la kombe la dunia.

== Fomati ==

=== Kufuzu ===
Tangu 1962 kumekuwa na michuano ya kufuzu katika fainali . Kutoka 1962-1990 michuano hii ilikuwa na mechi za kurudiwa, na idadi ya raundi ilitegemea idadi ya timu zinazoshiriki Kuanzia 1994 kuendelea timu ambazo zina azma ya kufuzu hugawanywa katika makundi na kucheza na kila timu katika kundi iliyowekwa Mpaka mwaka wa 2006 ambako timu ya nchi ambapo shindano hili litafanyika na mabingwa tetezi zilifaulupapo Kwanzia mwaka wa 2008 timu itakayo fanya shindano hili ndio wanafuzu papo hapo.Fomati ya kufuzu katika shinano hili imekuwa ikibadilikabadilika .Kwanzia mwaka wa 2008 timu 11 ndizo zinazofuzu katika fainali ambazo zinagawanya katika makundi ambayo yana timu nne na moja timu tatu.
Timu zinazoshinda katika kundi ndizo zinafaulu na timu tatu zingine ambazo zina rekodi nzuri

== Taji ==
Katika historia ya Kombe la Mataifa, kumekuwa na aina tatu za taji ambazo zimepatianwa .Kombe la kwanza mbalo lilikuwa la fedha, lilijulikana kama '''" Kombe la Abdelaziz Abdallah Salem ",''' ambalo ilikuwa jina lake rais wa kwanza wa kutoka [[Misri]] jenuari [[Abdelaziz Abdallah Salem]]. Baada ya ushindi wa tatu katika Kombe la Mataifa [[Ghana]] iliweza kumiliki kombe hilo mwaka wa 1978. <ref name="BBC-Newtrophy">
{{citeCite web
| url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/1562471.stm
| author=[[news.bbc.co.uk]]
| publisher=[[BBC]]
| title=Nations Cup trophy revealed
| accessdate=16 March 2007}}
</ref>

Kombe la pili lilikuwa mwaka wa 1980-2000, na ilijulikana kama '''"nyara wa Umoja wa Afrika"''' <ref name="FIFA-adventure">
{{citeCite web
| url=http://www.fifa.com/en/print/article/0,4039,10769,00.html
| author=FIFA.com
</ref> au '''"African Unity Cup".''' <ref name="BBC-Newtrophy"/> lilitolewa na Baraza Kuu ya Michezo ya Afrika kwa CAF mwaka wa 1980 kabla ya mashindano na lilikuwa ni kipande mviringo na[[pete ya Olimpiki]] ambayo ililalia ramani ya bara ya Afrika. liliket juu ya wingo uliyo nmraba na lilikuwa na vishikilio vya Triangle. [[Kamerun]] iliweza kumiliki kombe hili baada ya kuchukua ubingwa mwaka wa 2000.

Mwaka wa 2001,Toleo la tatu lilitokea, ambalo ni kombe la dhahabu lililoundwa nchini [[Italia]]. Kamerun, waliomiliki toleo la pili waliweza kuwa taifa la kwanza kushinda toleo hili.

Mwaka wa 2001,Toleo la tatu lilitokea, ambalo ni kombe la dhahabu lililoundwa nchini [[Italia]]. Kamerun, waliomiliki toleo la pili waliweza kuwa taifa la kwanza kushinda toleo hili.

== Matokeo ==

{| class="wikitable" style="font-size:90%;text-align:center"

| [[1957]]
| {{flag|Sudan|1956}}
| '''{{fb-big|Egypt|1952}}'''
| '''4-0'''
| {{fb-big|Ethiopia|1897}}
| {{fb-big|Sudan|1956}}
| [[1959]]
| {{flag|Egypt}}
| '''{{fb-big|Egypt|1952}}'''
| '''2-1''' (2)
| {{fb-big|Sudan|1956}}
| {{fb-big|Egypt|1952}}
| {{fb-big|Tunisia|old}}
| '''3-0'''
| {{fb-big|Uganda}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1963]]
| {{flag|Ghana}}
| '''{{fb-big|Ghana}}'''
| '''3-0'''
| {{fb-big|Sudan|1956}}
| {{fb-big|United Arab Republic}}
| '''3-0'''
| {{fb-big|Ethiopia|1897}}

| [[1965]]
| {{flag|Tunisia|old}}
| '''{{fb-big|Ghana|1964}}'''
| '''3-2'''
[[AET]]
| {{fb-big|Tunisia|old}}
| {{fb-big|Cote d'Ivoire|name=Ivory Coast}}
| '''1-0'''
| {{fb-big|Senegal}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1968]]
| {{flag|Ethiopia|1897}}
| '''{{fb-big|Congo DR|1966}}'''
| '''1-0'''
| {{fb-big|Ghana}}
| {{fb-big|Cote d'Ivoire|name=Ivory Coast}}
| '''1-0'''
| {{fb-big|Ethiopia|1897}}

| [[1970]]''''
| {{flag|Sudan|1956}}
| '''{{fb-big|Sudan|1956}}'''
| '''3-2'''
| {{fb-big|Ghana}}
| {{fb-big|United Arab Republic}}
| '''3-1'''
| {{fb-big|Cote d'Ivoire|name=Ivory Coast}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1972]]''''
| {{flag|Cameroon|1961}}
| '''{{fb-big|Congo|1970}}'''
| '''3-2'''
| {{fb-big|Mali}}
| {{fb-big|Cameroon|1961}}
| '''5-2'''
| {{fb-big|Zaire}}

| [[1974]]
| {{flag|Egypt|1972}}
| '''{{fb-big|Zaire}}'''
| '''2-2''' [[AET]]
'''2-0''' Replay
| {{fb-big|Zambia}}
| {{fb-big|Egypt|1972}}
| '''4-0'''
| {{fb-big|Congo|1970}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1976]]
| {{flag|Ethiopia|1975}}
| '''{{fb-big|Morocco}}'''
| '''1-1''' (3)
| {{fb-big|Guinea}}
| [[1978]]
| {{flag|Ghana}}
| '''{{fb-big|Ghana}}'''
| '''2-0'''
| {{fb-big|Uganda}}
| {{fb-big|Nigeria}}
| {{fb-big|Tunisia|old}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1980]]''''
| {{flag|Nigeria}}
| '''{{fb-big|Nigeria}}'''
| '''3-0'''
| {{fb-big|Algeria}}
| {{fb-big|Morocco}}
| '''2-0'''
| {{fb-big|Egypt|1972}}

| [[1982]]''''
| {{flag|Libya}}
| '''{{fb-big|Ghana}}'''
| '''1-1''' [[AET]]
'''(7-6)''' [[penalti]]
| {{fb-big|Libya}}
| {{fb-big|Zambia}}
| '''2-0'''
| {{fb-big|Algeria}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1984]]
| {{flagicon|Côte d'Ivoire}} [[Ivory Coast]]
| '''{{fb-big|Cameroon}}'''
| '''3-1'''
| {{fb-big|Nigeria}}
| {{fb-big|Algeria}}
| '''3-1'''
| {{fb-big|Egypt|1972}}

| [[1986]]''''
| {{flag|Egypt}}
| '''{{fb-big|Egypt}}'''
| '''0-0''' [[AET]]
'''(5-4)''' [[penalti]]
| {{fb-big|Cameroon}}
| {{fb-big|Côte d'Ivoire}}
| '''3-2'''
| {{fb-big|Morocco}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1988]]
| {{flag|Morocco}}
| '''{{fb-big|Cameroon}}'''
| '''1-0'''
| {{fb-big|Nigeria}}
| {{fb-big|Algeria}}
| {{fb-big|Morocco}}

| [[1990]]''''
| {{flag|Algeria}}
| '''{{fb-big|Algeria}}'''
| '''1-0'''
| {{fb-big|Nigeria}}
| {{fb-big|Zambia}}
| '''1-0'''
| {{fb-big|Senegal}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[1992]]''''
| {{flag|Senegal}}
| '''{{fb-big|Côte d'Ivoire}}'''
| '''0-0''' [[AET]]
'''(11 - 10)''' [[penalti]]
| {{fb-big|Ghana}}
| {{fb-big|Nigeria}}
| '''2-1'''
| {{fb-big|Cameroon}}

| [[1994]]
| {{flag|Tunisia}}
| '''{{fb-big|Nigeria}}'''
| '''2-1'''
| {{fb-big|Zambia}}
| {{fb-big|Côte d'Ivoire}}
| '''3-1'''
| {{fb-big|Mali}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[mwaka wa (1996).]]
| {{flag|South Africa}}
| '''{{fb-big|South Africa}}'''
| '''2-0'''
| {{fb-big|Tunisia|old}}
| {{fb-big|Zambia}}
| '''1-0'''
| {{fb-big|Ghana}}

| [[1998]]
| {{flag|Burkina Faso}}
| '''{{fb-big|Egypt}}'''
| '''2-0'''
| {{fb-big|South Africa}}
| {{fb-big|Democratic Republic of the Congo|1997}}
| [[2000]]
| {{flag|Ghana}} &
{{flag|Nigeria}}
| '''{{fb-big|Cameroon}}'''
| '''2-2''' [[AET]]
'''(4 - 3)''' [[penalti]]
| {{fb-big|Nigeria}}
| [[2002]]
| {{flag|Mali}}
| '''{{fb-big|Cameroon}}'''
| '''0-0''' [[AET]]
'''(3 - 2)''' [[penalti]]
| {{fb-big|Senegal}}
| {{fb-big|Nigeria}}
| '''1-0'''
| {{fb-big|Mali}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[2004]]
| {{flag|Tunisia}}
| '''{{fb-big|Tunisia}}'''
| '''2-1'''
| {{fb-big|Morocco}}
| {{fb-big|Nigeria}}
| '''2-1'''
| {{fb-big|Mali}}

| [[2006]]
| {{flag|Egypt}}
| '''{{fb-big|Egypt}}'''
| '''0-0''' [[AET]]
'''(4 - 2)''' [[penalti]]
| {{fb-big|Côte d'Ivoire}}
| {{fb-big|Nigeria}}
| '''1-0'''
| {{fb-big|Senegal}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[2008]]''''
| {{flag|Ghana}}
| '''{{fb-big|Egypt}}'''
| '''1-0'''
| {{fb-big|Cameroon}}
| {{fb-big|Ghana}}
| '''4-2'''
| {{fb-big|Côte d'Ivoire}}
|- style="background:#D0E6FF"
| [[2010]]''''
| {{flag|Angola}}

(1) ''Mwaka wa 1957, {{fb|RSA|1928}} haikuruhusiwa kucheza kutokana na ubaguzi [[ubaguzi]]''.

(3) ''Hakukuwa na mechi na fainali rasmi mwaka wa 1976, kwani timu nne bora katika kila kundi ndizo zliwaania taji hili.''

(4) ''Katika mwaka wa 1978, nafasi ya tatu ilinyakuliwa na Nigeria 2-0 baada Tunisia kujiuzulu wakiwa sare ya bao1-1 katika dakika 42.''

(5) ''Hakukuwa na muda wa ziada .''

* '''Key:'''

** AET - ''baada ya [[muda wa ziada]]''

* '''Key:'''
** AET - ''baada ya [[muda wa ziada]]''
** adhabu - ''baada [[Penalti]]''

== Takwimu ==

=== Nchi zilizoshinda Michuano Mingi ===
[[Picha:Africa cup of Nations champions as of 2008.svg|thumb|300px|Ramani wa idadi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika]]

{| class="wikitable"
!Mwaka (s)

| align="center"| 1
| 6 Times
| {{fb|EGY}}
| 1957, 1959, 1986, 1998, 2006, 2008

| align="center"| 2
| Mara 4
| {{fb|CMR}}
| 1984, 1988, 2000, 2002

| align="center"| --
| Mara 4
| {{fb|GHA}}
| 1963, 1965, 1978, 1982

| align="center"| 4
| 2 times
| {{fb|COD}}
| 1968, 1974

| align="center"| --
| 2 times
| {{fb|NGR}}
| 1980, 1994

| align="center"| 6.
| 1 time
| {{fb|ALG}}
| 1990

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|CGO}}
| 1972

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|CIV}}
| 1992

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|ETH}}
| 1962

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|MAR}}
| 1976

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|RSA}}
| mwaka wa (1996).

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|SUD}}
| 1970

| align="center"| --
| 1 time
| {{fb|TUN}}
| 2004

=== Nchi zilizocheza fainali Nyingi ===

{| class="wikitable"

| align="center"| '''7'''
| {{fb|EGY}}
{{fb|GHA}}

| align="center"| '''6.'''
| {{fb|CMR}}
{{fb|NGA}}

| align="center"| '''3'''
| {{fb|TUN}}
{{fb|SUD}}

| align="center"| '''2'''
| {{fb|ALG}}
{{fb|ETH}}
{{fb|MAR}}
{{fb|CIV}}
{{fb|RSA}}
{{fb|ZAM}}
{{fb|COD}} (mara moja kama {{fb|Zaire}}

| align="center"| '''1'''
| {{fb|CGO}}
{{fb|MLI}}
{{fb|SEN}}
{{fb|UGA}}
{{fb|GUI}}
{{fb|LBY}}

=== Michuano kuonekana ===

{| class="wikitable"

!Kushiriki
!Taifa

| align="center"| '''21'''
| {{fb|EGY}}

| align="center"| '''17'''
| {{fb|CIV}}

| align="center"| '''16'''
| {{fb|GHA}}

| align="center"| '''15'''
| {{fb|COD}} (mara moja kama {{fb|Zaire}} [[Congo-Kinshasa]] & [[Congo-Leopoldville)]]
{{fb|NGA}}
{{fb|CMR}}

| align="center"| '''13'''
| {{fb|ALG}}
{{fb|MAR}}
{{fb|TUN}}
{{fb|ZAM}}

| align="center"| '''11'''
| {{fb|SEN}}

| align="center"| '''9.'''
| {{fb|ETH}}
{{fb|GUI}}

| align="center"| '''7'''
| {{fb|RSA}}
{{fb|SUD}}

| align="center"| '''6.'''
| {{fb|BFA}} (mara moja kama {{fb|Upper Volta}}
{{fb|CGO}}
{{fb|TOG}}

| align="center"| '''5'''
| {{fb|KEN}}
{{fb|MLI}}
{{fb|UGA}}

| align="center"| '''4'''
| {{fb|ANG}}

| align="center"| '''3'''
| {{fb|GAB}}
{{fb|MOZ}}

| align="center"| '''2'''
| {{fb|BEN}}
{{fb|LBR}}
{{fb|LBY}}
{{fb|NAM}}
{{fb|SLE}}
{{fb|ZIM}}

| align="center"| '''1'''
| {{fb|MWI}}
{{fb|MRI}}
{{fb|RWA}}
{{fb|TAN}}

=== Nchi ambazo shindano hili limehudhuriwa kwa wingi ===

{| class="wikitable"

!Mwaka (s)

| align="center"| Mara 4
| {{fb|EGY}}
| 1959, 1974, 1986, 2006

| align="center"| Mara 4
| {{fb|GHA}}
| 1963, 1978, 2000 ^, 2008

| align="center"| 3 times
| {{fb|ETH}}
| 1962, 1968, 1976

| align="center"| 3 times
| {{fb|TUN}}
| 1965, 1994, 2004

| align="center"| 2 times
| {{fb|NGA}}
| 1980, 2000 ^

| align="center"| 2 times
| {{fb|SUD}}
| 1957, 1970

| align="center"| 1 time
| {{fb|ALG}}
| 1990

| align="center"| 1 time
| {{fb|BFA}}
| 1998

| align="center"| 1 time
| {{fb|CMR}}
| 1972

| align="center"| 1 time
| {{fb|LBY}}
| 1982

| align="center"| 1 time
| {{fb|CIV}}
| 1984

| align="center"| 1 time
| {{fb|MLI}}
| 2002

| align="center"| 1 time
| {{fb|MAR}}
| 1988

| align="center"| 1 time
| {{fb|SEN}}
| 1992

| align="center"| 1 time
| {{fb|RSA}}
| mwaka wa (1996).

'''Mengine baadaye majeshi:'''

'''Mengine baadaye majeshi:'''

:{{fb|ANG}} (2010)
:::{{fb|EQG}} (2012 ^)
::::{{fb|LBY}} (2014)

* ^ Co-majeshi

=== Wachezaji walio na bao nyingi ===

{| class="wikitable"

| 12
| {{flagicon|Egypt}} [[Hassan El-Shazly]]

| 11

=== Wachezaji walio na bao nyingi kwa mwaka ===

{| class="wikitable"
!mwaka

| 1970
| {{flagicon|CIV}} [[Laurent Pokou]]
| align="center"|8

| 1984
| {{flagicon|EGY}} [[Taher Abouzaid]]
| align="center"|4

=== Mkuu Takwimu ===

{| align="center" cellpadding="4" cellspacing="0" style="background:#f9f9f9;border:1px #aaa solid;border-collapse:collapse;font-size:90%" width="60%"
|- align="center" bgcolor="#069" style="color:white"
! width="50%"|Timu
! width="5%"|'''P'''
! width="5%"|'''W'''
! width="5%"|'''D'''
! width="5%"|'''L'''
! width="5%"|'''NI'''
! width="5%"|'''GC'''
! width="10%"|'''Tofauti'''
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Egypt}}
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Libya}}

| -1
|- align="center" bgcolor="#D0E7FF"
|- align="center" bgcolor="#D0E7FF"
| align="left"|{{fb|Zimbabwe}}

| 13
| -5
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Liberia}}

| -2
|- align="center" bgcolor="#D0E7FF"
| align="left"|{{fb|Gabon}}

| 16
| -10
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Rwanda}}

| 0
|- align="center" bgcolor="#D0E7FF"
| align="left"|{{fb|Sierra Leone}}

| 11
| 9.
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Namibia}}

| 18
| 9.
|- align="center" bgcolor="#DOE7FF"
| align="left"|{{fb|Tanzania}}

| -3
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Malawi}}

| -4
|- align="center" bgcolor="#D0E7FF"
| align="left"|{{fb|Mozambique}}

| 19
| -17
|- align="center" bgcolor="#F5FAFF"
| align="left"|{{fb|Mauritius}}

| 6.
|- align="center" bgcolor="#D0E7FF"
| align="left"|{{fb|Benin}}

| 15
| -13

== Tazama pia ==
{{Col-begin}}
{{Col-1-of-3}}
{{Col-2-of-3}}
{{Col-3-of-3}}
{{portalLango|Africa|Africa satellite orthographic.jpg}}
{{colCol-end}}

== Marejeleo ==

== Marejeleo ==
<references></references>

== Masomo zaidi ==

== Masomo zaidi ==

* [http://www.fifa.com/en/print/article/0,4039,10769,00.html Mkuu Adventure ya African Football] [[(FIFA)]]
* [http://www.sis.gov.eg/En/Society/acup/History/091302000000000001.htm Historia ya kombe la Mataifa ya Afrika tangu mwaka 1957] (Misri State Information Service)

== Viungo vya nje ==

== Viungo vya nje ==

* [http://www.cafonline.com/ Confederation Africaine de Football]
* [http://www.chelseafc.com/page/AfricanCupOfNations Kombe la Mataifa ya Afrika habari kutoka Chelsea FC]
9,497

edits