Umoja wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Badiliko: jv:Uni Éropah
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 5:
|-
| align="center" colspan="2" style="background:#f9f9f9;" | [[Picha:EU location.png|280px|]]
|-
| <center>[http://www.europa.eu/ www.europa.eu]</center>
|}
 
'''Umoja wa Ulaya''' (Kifupi: '''[[EU]]''') ni maungano ya nchi 27 za [[Ulaya]]. Ulianzishwa mwaka 1991 kwenye msingi wa [[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]].
Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
 
Nchi 12 za Umoja hutumia pesa ileile ya ''[[Euro]]'', kuanzia [[1 Januari]] [[2007]] [[Slovenia]] imekuwa nchi ya 13. Nchi nyingi za Umoja zilipatana kufungua mipaka yao bila vizuizi kwa wakazi wote.
 
== Historia ==
[[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]] ilibadilisha jina lake [[1992]] kufuatana na mikataba ya Maastricht kuwa Umoja wa Ulaya.
Nchi wanachama zilipatana kujenga siasa ya pamoja ya kiuchumi, kifedha, kisheria na katika mambo ya nje.
Mstari 27:
</gallery>
 
== Uhuru wa kuhama ==
Kila mtu mwenye uraia wa nchi ya Umoja anaruhusiwa kuhamia nchi yoyote nyingine na kufanya kazi au biashara huko bila vibali vya pekee.
 
Vilevile bihdaa zote zinazotengenezwa kote katika EU zinaweza kuuzwa katika kila nchi. Hii ni sababu ya kuwa na sheria za pamoja zinazotawala masharti ya bidhaa.
 
== Vyombo vya Umoja ==
=== Halmashauri ya Ulaya ===
Halmashauri hii ni mkutano wa viongozi wa serikali za nchi wanachama. Wanakutana mara mbili kwa mwaka na kutoa maazimo muhimu.
 
Nafasi ya uraisi hubadilika kila baada ya miezi 6. Ufini ilishika uraisi kati ya Julai 2006 hadi Desemba 2006, ikafuatiliwa na Ujerumani tangu Januari hadi Juni 2007.
 
=== Baraza za mawaziri ===
Mstari 45:
 
=== Bunge la Ulaya ===
Bunge la Ulaya lina wabunge 732 wanaochaguliwa na wananchi kila baada ya nchi tano.
 
== Nchi wanachama za EU ==
[[Picha:Umoja Ulaya-2007.png|thumb|right|500px|'''Nchi (jina la kienyeji - kifupi)'''<br />
Austria (Österreich - '''AT''')
Mstari 77:
Uswidi (Sverige - '''SE''')
<br />
'''Wanaoomba kupokelewa''':
Kroatia (Hrvatska - HR)
Masedonia (** - **)
Mstari 108:
 
==== Wanachama tangu [[2004]] ====
* [[Kupro]]
* [[Ucheki]]
* [[Estonia]]
Mstari 124:
 
==== Nchi zinazoomba uanachama ====
* [[Kroatia]]
* [[Masedonia]]
* [[Uturuki]]
 
== Viungo vya Nje ==
{{Lango|Ulaya|Europe green light.svg}}
{{commonsCommons|European Union}}
* [http://europa.eu/ European Union online portal]
* [http://www.eu2006.fi/en_GB/ Finland's EU Council Presidency]
Mstari 146:
{{Link FA|sco}}
{{Link FA|sv}}
 
[[ab:Европатәи Аидгыла]]
[[af:Europese Unie]]