Nembo ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 1:
[[Image:Coat of arms of tanzania.svg|thumb|right|200|Nembo ya Tanzania]]
'''Nembo ya Tanzania''' ni ngao ya askari inayoshikwa na watu wawili.
 
Ngao ina sehemu nne: juu sehemu ya dhahabu, chini yake bendera ya taifa, halafu sehemu nyekundu na chini kabisa sehemu ya buluu-nyeupe
Mstari 8:
b) robo ya pili ni bendera ya Tanzania
 
c) rangi nyekundu inamaanisha ardhi nyekundu ya Afrika na kilimo kama msingi wa maisha ya watu.
 
d) milia ya buluu na nyeupe katika robo ya nne inamaanisha mawimbi ya bahari na maziwa kwenye mipaka ya nchi pamoja na bahari inayozunguka [[Zanzibar]] kama sehemu ya Jamhuri ya Maungano.
Mstari 16:
Ngao yote imeviringishwa na mapembe ya [[ndovu]] yanayomaanisha utajiri wa wanyamapori na hifadhi za taifa.
 
Ngao inalala juu ya [[mlima Kilimanjaro]] ambayo ni mlima mkubwa wa Tanzania.
 
Watu wawili wanaoshika ni mwanamume na mwanamke kama dalili ya ushirikiano wa jinsia zote mbili taifani. Wanasimama juu ya mpamba na mkarafuu ambayo yote inazaa mazao muhimu ya kibiashara ya Tanzania Bara kwa pamba na [[Zanzibar]] kwa karafuu.
Mstari 25:
[http://www.tanzania.go.tz/profile.html Tovuti ya serikali ya Tanzania - "The national coat of arms"]
 
{{portalLango|Tanzania|Flag of Tanzania.svg}}
 
{{Africa topic|Nembo ya|title=[[Nembo za Afrika|Nembo]] za [[Afrika]]}}