Tofauti kati ya marekesbisho "Bamba la gandunia"

32 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
d
Fix langos and minor fixes using AWB
d (cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: (3) using AWB)
d (Fix langos and minor fixes using AWB)
[[Image:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|thumb|350px|Mabamba gandunia ya dunia yetu]]
'''Bamba gandunia''' ni kipande kikubwa cha [[ganda la dunia]]. Hoja la sayansi kuhusu [[gandunia]] ni ya kwamba ganda la dunia limevunjika kwa vipande mbalimbali vinavyoitwa mabamba. Kila bamba lapakana na mabamba mengine. Mabamba yasukumwa na mikondo ya moto chini yao kama majani yanayokaa usoni wa maji inayoanza kuchemka katika sufuria. Hivyo kila bamba lina mwendo wake wa pekee pamoja na au dhidi ya mabamba mengine.
 
Mabamba haya ni sehemu ya nje ya [[tabakamwamba]] (lithosferi). Tabaka hili limevunjika katika vipande vikubwa 7 na vingine vidogo vinavyoelea juu ya tabaka lenye hali ya kiowevu chenye mnato mzito.
 
Mabamba haya yote yameonekana kuwa na mwendo wa [[mita|sentimita]] kadhaa (2 - 20 [[cm]] zimepimwa) kwa mwaka. Mwendo huu husababishwa na nguvu ya [[magma]] (mwamba moto wa kiowevu) inayopanda juu na kusukuma mabamba haya.
 
==Mabamba makuu ya dunia==
 
==Mwendo wa mabamba==
Mwendo wa mabamba haya umesababisha kutokea na kuvunjika kwa mabara katika historia ya dunia yetu.
 
Wataalamu hufikiri ya kwamba dunia ilikuwa na bara kubwa moja tu ([[Pangaea]]) miaka milioni 300 - 150 iliyopita iliyovunjika katika vipande au mabamba mbalimbali.
 
Hata mabamba yaliyopo kwa sasa yanategemewa kuendelea kuhamahama, kuvunjika au kupotea kabisa.
 
Kwa mfano Afrika iko katika mwenendo wa kupasuliwa kwenye mstari wa [[Bonde la Ufa]] yaani [[Afrika ya Mashariki]] inaelekea kujitenga na sehemu nyingine ya bara ikiwa bamba la pekee. Penye Bonde la Ufa la sasa bahari itatandiwa baada ya miaka milioni 20.
 
[[Bara Hindi]] au bamba la Uhindi inaendelea kusukuma dhidi ya bamba la Asia na kujisukuma chini ya milima ya [[Himalaya]] - kuna uwezekano ya kwamba itaingia kabisa na kutoweka.
 
{{Lango|Jiografia|Sciences de la terre.svg}}
 
{{jaribio}}
9,527

edits