Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Telescope.jpg|thumb|Aina mbalimbali za [[darubini]] ni vyombo muhimu ya astronomia]]
 
'''Astronomia''' ''(kutoka [[Kigir.]] ἄστρον astron "nyota" na νόμος nomos "sheria")''<ref>Awali makala iliitwa "'''Falaki'''"(kutoka [[Kar.]] علم الفلك 'ilm al-falak "elimu ya mizingo ya magimba ya angani")'' lakini kwa kufuata ushauri wa Dr Noorali T Jiwaji, Open University of Tanzania ilionekana ya kwamba wataalamu wa fani hii katika Tanzania walipatana kutumia neno "Astronomia". </ref> ni elimu juu ya magimba kwenye ulimwengu kama vile [[nyota]], [[sayari]], [[mwezi|miezi]], [[kimondo|vimondo]], [[nyotamkia]], [[galaksi]] kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa na sheria zinazotawala tabia zao.
 
Astronomia ni tofauti na [[unajimu]] ambayo si [[sayansi]] bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za wanadamu pia kutabiri mambo yajayo.
Mstari 8:
Tangu zamani watu walitazama mabadiliko kati ya nyota zinazoonekana angani wakati wa usiku. Walitazama pia ya kwamba mabadiliko mengi yanarudia kila mwaka na yana uhusiano na nyakati za mvua, baridi na joto, mavuno na ustawi wa mimea katika mwendo wa mwaka. Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda [[kalenda]]. Watazamaji wa nyota walianza kutambua pia tofauti kati ya nyota mbalimbali kwa mfano [[nyota]] zenye mahali palepale kila wakati na nyota chache za pekee zilizobadilisha mahali angani kwa utaratibu wa kurudia na hizi ziliitwa [[sayari]], tena nyota nyingine zilizoonekana kwa muda tu zikibadilisha mahali pao angani zikaitwa [[kimondo|vimondo]].
 
Kwa karne nyingi wataalamu katika sehemu mbalimbali za dunia walihisi ya kwamba nyota hizi zilikuwa [[mungu|miungu]] zilioonekana kwa mbali sana. Katika vitabu vya kidini vya kale kuna majadiliano juu ya tabia zao; wakati [[mitholojia]] ya mataifa mengi iliona nyota kuwa miungu [[Biblia]] ilifundisha ni taa zilizowekwa na Mungu wa pekee mwumbaji wa ulimwengu.
 
Wataalamu wa kale katika nchi kama Uhindi au Ugiriki ya Kale walianza kutambua mwendo wa sayari na kuunda nadharia yuu ya uhusiano wa dunia, jua na sayari nyingine.
 
Tangu kupatikana kwa vyombo vya utazamaji nyota vilivyoboreshwa kama [[darubini]] elimu halisi juu ya nyota na sayari ilisogea mbele.
 
Siku hizi wataalamu wameelewa tabia za nyota nyingi kuwa magimba kama jua letu wakati sayari kuwa magimba kama [[dunia]] yetu yanayozunguka [[jua]] letu katika [[mfumo wa jua]]. Wameelewa pia ya kwamba kuna mabilioni ya nyota zinazojumika pamoja katika makundi makubwa yanayoitwa [[galaksi]].
 
Vyombo vya utazamaji vilivyopatikana katika [[karne ya 20]] vilionyesha magimba yasiyoonekana kwa macho kwa sababu hayana nuru ya kawaida bali yanafikisha kwetu mnururisho ya mawimbi ya redio tu.
 
(itaendelea)
Mstari 30:
* [http://www.planetsurveyor.com Astronomy with sections for beginners and younger people]
 
{{Lango|Sayansi|Katomic.svg}}
 
{{mbeguMbegu-sayansi}}
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Astronomia]]
 
{{Link FA|ml}}
 
[[af:Sterrekunde]]
[[als:Astronomie]]