Jomo Kenyatta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: sr:Џомо Кенијата
Copyedit.
Mstari 1:
{{Infobox Presidentpresident
| name = Jomo Kenyatta
| picha = Jomo Kenyatta.jpg
Mstari 24:
}}
 
'''Jomo Kenyatta''' (1893-1978) alikuwa [[rais]] wa kwanza wa [[Kenya]], alizaliwa mwaka 1893 jina lake halisi ni Johnstone Kamau wa Ngengi. Alipewa jina la utani ambalo ni Mkuki wa Moto (Burning Spear). Jina la Kenyatta lilitokana na mkanda aliopenda kuuvaa ambao ulitengenezwa kwa shanga. [[Wagĩkũyũ]] wanauita kenyaata. Kabila lake lilikuwa ni Mgĩkũyũ. Alisoma katika shule ya [[kanisa la wamisheni wa Kiskoti]].
 
Baada ya kuhitimu aliajiriwa kama karani na msoma mita wa manispaa ya [[Nairobi]], alioa mke wake wa kwanza ambaye ni Grace Wahu.
 
Azma yake ya kutaka kuikomboa ardhi ya Wagĩkũyũ ilimfanya kuweza kuwaunganisha Wagĩkũyũ naye akawa katibu wao mwaka 1928.Katika mwaka 1930 alizuru [[Marekani]] na [[Uingereza]] ambako aliishi miaka kumi na mitano na hata kuoa mwalimu wa [[Kiingereza]] ambaye aliitwa [[Edna Kenyatta]]. Alirudi Kenya mwaka 1946 na alichaguliwa kuwa rais wa chama cha siasa cha [[KANU|Kenya African Union]] (KANU). Alihamasisha kukomeshwa [[ubaguzi wa rangi]]; kuwa na mwamko kisiasa pamoja na mambo mengine yanayompa Mwafrika heshima na utu. Aliandika kitabu kiitwacho [[Facing Mount Kenya]] kilichohusu ukombozi na historia ya Wagĩkũyũ. Alikuwa pia ni muhariri na muanzilishi wa gazeti la kwanza kwa lugha ya Gĩkũyũ ambalo liliitwa [[Mũigũithania]].
 
Kutokana na kuhusishwa na harakati za vita vya msituni vya kundi la [[Mau Mau]] alihukumiwa miaka saba jela mwaka 1952. Huwezi kuzungumza historia ya Kenyatta bila ya kuitaja Maumau. Baadaye alioa mke mwengine wa tatu ambaye aliitwa [[Mama Ngina Kenyatta]] ambaye alikuja kuwa mke wa rais wa kwanza ambaye ndiye mama yake [[Uhuru Kenyatta]]. Juni 1 1963 Kenya ilipata madaraka na Jomo Kenyatta alitawazwa kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Kenya.
Mstari 46:
 
Kenyatta alifariki jijini Mombasa Agosti 18, 1978 na kuzilazwa jijini Nairobi kwenye majengo ya bunge.
{{Pan-Africanism}}
 
{{DEFAULTSORT:Kenyatta}}
[[Jamii:Jomo Kenyatta|!]]