Thabo Mbeki : Tofauti kati ya masahihisho

10 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
Copyedit.
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: br:Thabo Mbeki)
(Copyedit.)
'''Thabo Mvuyelwa Mbeki''' (amezaliwa [[18 Juni]], [[1942]]) alikuwa [[Rais]] wa nchi ya [[Afrika Kusini]] tangu [[14 Juni]], [[1999]] hadi [[24 Septemba]], [[2008]]. Alimfuata [[Nelson Mandela]].
 
Mbeki alilelewa katika familia ya [[Waxhosa]] katika jimbo la [[Rasi Mashariki]]. Wazazi walikuwa walimu wa shule na wanachama wa [[ANC]].
 
== Mwanaharakati wa ANC ==
Thabo alishiriki katika shughuli za chama hiki wakati alipokuwa mwanafunzi. Baada ya kukamatwa kwa Nelson Mandelea na viongozi wengine wa ANC alitoka nchini akapelekwa [[Uingereza]] aliposoma elimu ya uchumi kwenye chuo kikuu cha Sussex. Baada ya masomo akajiunga na utumishi wa ANC na tangu 1971 alichaguliwa katika kamati kuu akawa mwakilishi wa ANC katika nchi mbalimbali za Afrika.
 
Tangu 1989 Mbeki alikuwa katibu wa chama mambo ya nje akahudhuria katika majadilioano kati ya serikali ya Afrika Kusini na ANC kuhusu namna za kumaliza sera ya [[Apartheid]].
 
== Makamu wa Rais na Rais ==
Baada ya uchaguzi huru wa kwanza nchini Afrika Kusini mwaka 1994 alikuwa makamu wa rais chini ya Nelson Mandela. Mwaka 1997 akawa mwenyekiti wa ANC badala ya Mandela. 16 Juni 1999 akaapishwa kama rais wa Afrika Kusini akarudishwa katika uchagizi wa Aprili 2004.
 
Katika Desemba 2007 Mbeki aligombea tena nafasi ya mwenyekiti wa ANC lakini alishindwa na [[Jacob Zuma]]. Zuma pia alimfuata Mbeki kama Rais wa Afrika Kusini baada ya uchaguzi wa 2009.
 
== Viungo vya Nje ==
 
== Viungo vya Nje ==
[http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/3499695.stm BBC kuhusu Thabo Mbeki]
 
{{mbeguPan-mwanasiasaAfricanism}}
{{Mbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Mbeki}}
9,527

edits