William I wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|right|William Mshindi jinsi alivyochorwa kwenye kitambaa cha Bayeux baada ya mwaka 1070 '''Mfalme William I wa Uingereza''' anayejulik...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:William1.jpg|thumb|250px|right|William Mshindi jinsi alivyochorwa kwenye kitambaa cha Bayeux baada ya mwaka 1070]]
'''Mfalme William I wa Uingereza''' anayejulikana pia kwa jina la '''William Mshindi''' ('''''William the Conqueror''''') au kwa jina Kifaransa kama '''Guillaume''' alikuwa mtemi wa [[Normandi]] na mtawala wa mwisho wa nje aliyefaulu kuvamia [[Uingereza]].<ref>{{cite book|title=Key Stage Three History: The Study Guide|publisher=Coordination Group Publications|isbn=1841463302|edition=First|date=2002|page=1}}</ref>
 
Alizaliwa katika Normandi ambayo ni sehemu ya [[Ufaransa]] iliyokaliwa wakati ule na [[Wanormani]] waliokuwa watu wenye asili ya [[Skandinavia]]. Wzazi wake walikuwa mtemi Robert wa Normandi na mke wake wa kando Herleva. Baba alimpa cheo cha mtemi mteule alipokuwa na miaka 6 wakati alipoenda kujiunga na [[vita ya misalaba]]. Alipokuwa mbukwa alihitaji kupigania vita kwa miaka mingi dhidi ya watemi wadogo waliotaka kukamata cheo chake. Tangu mwaka 1054 alikuwa mshindi na kutokana na kifo cha mfalme wa Ufaransa aliweza kutawala Normandi kama mfalme mdogo.
[[Picha:William the Conqueror 1066 1087.jpg|thumb|right|200px|Sarafu ya William I]]
Uingereza ilikaliwa wakati ule na [[Waanglia-Saksoni]]; lugha ya wakazi wengi ilikuwa Kianglia-Saksoni. Magharibi na kaskazini ya kisiwa cha [[Britania Kuu]] ilikuwa bado na wakazi asilia [[Wakelti]] na Wadenmark waliowahi kuunda makazi kwenye pwani la mashariki. William alikuwa ndugu na mfalme [[Edward wa Uingereza]] (1042-1066) kwa sababu mamake Edward alikuwa shangazi wa babake William. Edward alimtembelea William katika Normandi akamahidi atakuwa mrithi wake. Lakini baada ya kifo cha Edward wakubwa wa Uingereza walimchagua mtemi Harold kuwa mfalme mpya.
 
Mstari 13:
 
William alielazimishwa kutetea himaya katika vita nyingi yake dhidi ya viongozi wazalendo Waingereza waliozidi kuasi dhidi yake, uvamizi kutoka Denmark, Waskoti kutoka kaskazini na pia dhidi ya mfalme wa Ufaransa aliyejaribu kuwa tena mkuu juu ya Normandi.
[[picha:StEtienne Tombo GuillaumeLeC.JPG|thumb|250px|right|Jiwe la kaburi la William I mjini Rouen]]
 
Aligonjeka na kufa mjini Rouen (Ufaransa) mwaka 1087 alipopigana na jeshi la mfalme wa Ufaransa.