Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: en:East African Campaign (World War I)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kampeni za Afrika ya Mashariki''' ulikuwa mfululizo wa mapigano naya vitendokivita vya kiaskari mwitu ambavyo vilianzia katikayaliyotokea [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] n hatimaye(Tanganyika, kueneaRwanda katikana Burundi ya leo) na koloni sehemujirani za [[MozambiqueMsumbiji]], [[Rhodesia ya Kaskazini]] (Zambia), [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (Kenya), [[Uganda]], na [[Kongo ya Kibelgiji]]. Kampeni hizi ziliishazilianza mwezi wa Agosti 1914 zikaisha rasmi mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 19171918.<ref name="Holmes 2001, p. 361">Holmes 2001, p. 361.</ref> Hata hivyo, Wajerumani wakaingia katika Afrika ya Mashariki ya Kireno na kuendeleza kampeni za matumizi ya misaada ya vifaa vya Mreno.
[[Picha:Askari.jpeg|thumb|250px|Askari wa jeshi la kijerumani]]
==Wajerumani na mataifa ya ushirikiano==
Wapiganaji katika vita hii walikuwa jeshi la kikoloni cha Kijerumani lililofanywa hasa na askari Waafrika waliosimamiwa na maafisa Wajerumani pamoja na walowezi Wajerumani na wanamaji wa manowari waliokaa Afrika ya Mashariki wakati wa mwanzo wa vita 1914. Dhidi yao walisimama jeshi dogo la kikoloni la Kiingereza katika Kenya na Rhodesia, halafu vikosi vya jeshi la kikoloni la Uhindi ya Kiingereza na vikosi kutoka Afrika Kusini. Kutoka magharibi walishiriki vikosi za Force Publique ya Kibelgiji kutoka Kongo. Tangu mwaka 1916 jeshi la kikoloni la Kireno liliingia upande wa Uingereza.
Mikakati ya jeshi la kikoloni la Kijerumani lililoongozwa na Luteni Koloneli (baadaye ''Meja-jenerali'') [[Paul Emil von Lettow-Vorbeck]] ililenga kuwalazimisha wapinzani hasa Waingereza kutumia wanajeshi wengi iwezekanavyo katika Afrika kwa shabaha ya kuwazuia wasipatikane kwenye vita ya Ulaya.
 
Mkakati yake ilifaulu kiasi cha kwamba Waingereza walipaswa kuleta vikosi vikubwa kutoka Uhindi ya Kiingereza na Afrika Kusini kupigania kempeni ya Afrika ya Mashariki. <ref>Holmes 2001, p. 359.</ref><ref>Strachan 2003, p. 642.</ref>
Mikakati ya vikosi vya ukoloni wa Kijerumani, uliokuwa unaongozwa na Luteni Koloneli (baadaye ''Meja-jenerali'') [[Paul Emil von Lettow-Vorbeck]], kazi yake ilikuwa kuruhusu vikosi kutoka Umagharibini na kuvielekezea Afrika. Mkakati wake umeanguka kufanikisha matokeo haya baada ya 1916, wakati vikosi vikuu vya Kihindi na Afrika Kusini, ambavyo vilikuwa havienezeki kwa Ulaya kutokana na sera za kikoloni, wakawamaliza wale waliobakia katika kampeni.<ref>Holmes 2001, p. 359.</ref><ref>Strachan 2003, p. 642.</ref> Hata hivyo, Wajerumani walipigana wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Wajerumani walipokea neno la kusimamisha vita mnamo tar. 14 Novemba 1918 saa 7:30 asubuhi. Pande zote mbili zilisubiria uthibitisho, na hatimaye Wajerumani wakasilimu amri mnamo 25 Novemba. Afrika ya Mashariki ya Kijerumani hatimaye ikawa moja ya sehemu ya Shirikisho la Mataifa Sehemu B, [[Eneo la Tanganyika]] la [[Uingereza]] na [[Ruanda-Urundi]] ya [[Ubelgiji]], wakati [[Pembetatu ya Kionga]] ([[Msumbiji]] ya leo) ikawa eneo ambalo lipo chini ya [[Ureno]].
 
==Awamu la kwanza: 1914-1915==
==Historia==
Katika awamu la kwanza la vita jeshi la Kijerumani lilishambulia reli ya Uganda na vituo vya mpakani na Kenya. Waingereza walijibu kwa kukusanya walowezi wao katika Kenya bila kufaulu kuwazuia Wajerumani walioteka mji wa [[Taveta]]. Hiyvo Waingereza walichukua askari 12,000 Wahindi na 2 Novemba 1914 walishambulia Tanga. Lakini askari Waafrika wa jeshi la Kijerumani waliwashinda Tanga na baadaye pia [[Longido]] karibu na [[mlima Kilimanjaro]], wengine huko [[Yassini]].
[[picha:Battle of tanga.jpg|thumb|250px|Mapigano ya Tanga]]
Hapo Waingereza waliamua kuchukua wanajeshi Wazungu kutoka Afrika Kusini chini ya amri wa jenerali [[Jan Smuts]] waliofika Kenya hadi mwisho wa 1915. Wakati huohuo Wabelgiji walipanga pamoja na Uingereza kupeleka vikosi vya jeshi lake Force Publique katika Kongo mpakani wa magharibi.
 
==Awamu la pili: shambulio dhidi Tanganyika==
==Bibliograia na masomo zaidi==
Januari 1916 jeshi hili lilishambulia. Jeshi la Kijerumani lilikuwa ndogo likafuata mikakati ya kuwachelewesha maadui na kuwashambulia walipokuwa wadhaifu au walipofanya makosa.
* Vikosi kutoka Uhindi, Afrika Kusini na Uingereza vilivamia Tanganyika kutoka upande wa Kenya
* Wanajeshi 5,000 Waingereza na Waafrika Kusini walivamia kusini magharibi ya Tanganyika kutoka Nyassaland na Rhodesia
* Wabelgiji waliingia Rwanda na Burundi kutoka Kongo wakafuata njia ya reli kuelekea [[Tabora]]
* Wareno walivamia pembetatu ya Kionga (nchi ng'ambo ya mto Rufiji) na nyanda za juu za Umakonde. Lakini walishindwa hapa wakaswa kurudi Msumbiji
 
Hadi Agosti 1916 [[mataifa ya ushirikiano]] yalishika miji muhimu ya Tanganyika isipokuwa Daressalaam. Moshi iltekwa mwezi wa Machi. [[Reli ya Kati]] ya Tanganyika kuanzia Tabora, Dodoma hadi Morogoro ilikuwa mkono mwao. Walisita kuvamia Daressalaam kwa sababu waliogopa mapigano makali lakini Lettow-Vorbeck aliwahi kuondoa askari wake tayari kwa sababu hakutafuta mapigano makubwa dhidi ya maadui mwenye nguvu zaidi.
Alipeleka jeshi lake katika eneo kusini ya mstari Daressalaam-Morogoro-Iringa pasipo na njia nzuri akitegemea Waingereza wasingeweza kutumia usafiri kwa malori na reli.
 
Hadi hapa maendeleo ya vikosi vya maungano yalikuwa na matatizo mengi. Walitegemea hasa askari Wazungu na Wahindi waliozoea kusafiri na mizigo mikubwa ya vyakula, nguo na hema na kwa hiyo walihitaji [[hamali|mahamali]] wengi. Hivyo maendeleo yao yalikuwa polepole wakahitaji chakula kingi kulisha askari pamoja na mahamali. Askari pamoja na mahamali walikuwa wageni ambao hawakuzoea vema hali ya hewa na magonjwa hivyo walisumbuliwa na ugonjwa. Kinyume chake Lettow Vorbeck aliwategemea hasa askari Waafrika waliokuwa na mahitaji madogo waliojua nchi na kuzoea magonjwa ya mazingira. Waingereza walitumia askari Waafrika hasa kwa kulinda reli ya Uganda kwa sababu mwanzoni walikosa imani katika uwezo wao.
 
==Awamu la tatu: vita ya porini==
Tangu mwaka 1917 Waingereza walipunguza idadi ya Wazungu na Wahindi badala yake waliunda vikosi vipya vya Waafrika vya King's African Rifles waliokuwa na uwezo wa kushindana na Waafrika wa Lettow Vorbeck.
 
Walifaulu kusukuma jeshi la Kijerumani kusini zaidi. Katika Oktoba 1917 waliwalazimisha Wajerumani kusimama kwenye mapigano ya [[Mahiwa]] ambako Lettow Vorbeck aliwashinda lakini alipoteza askari mamia. Pia akiba yake ya risasi ilielekea kwisha. Kikosi kikubwa cha askari 1000 chini ya kapteni Tafel walilazimishwa kusalimisha amri baada ya kuishiwa chakula na risasi kabisa. Hata kama hakushindwa Lettow Vorbeck hakuweza kuendelea vile akaamua kuondoka katika Tanganyika na kwenda Msumbiji alipotegemea Wareno kuwa adui mdhaifu.
 
==Awamu la nne: Msumbiji na mwisho==
Mwisho wa Novemba 1917 Lettow aliwaacha wajeruhiwa na sehemu kubwa ya Wajerumani walioongozana naye nyuma akavuka mto Rovuma na askari 280 Wajerumani na Waafrika 1600.
 
Katika Msumbiji aliweza kuteka kambi ya kijeshi ya Wareno alipokamata bunduki na risasa pamoja na chakula. Waingereza walijaribu kumfuata laini walishindwa kumkuta katika Msumbiji. Katika miezi ya 1918 iliyofuata Lettow Vorbeck alizunguka katika Msumbiji ya kaskazini, mara nyingi kwa umbali wa siku 2 au tatu na Waingereza na Wareno waliomtafuta bila kumpata. Alivamia vituo mbalimbali vya Wareno na kupata risasi na vyakula mara kwa mara.
[[Picha:Lettow's surrender.jpg|thumb|250px|Jeshi la Kijerumani ilivyosalimisha amri 1918 (uchoraji wa siku zile)]]
Katika Septemba 1918 alipata habari ya kwamba Waingereza walikuwa nyuma yake kwa jeshi kubwa. Hapa aliamua kurudi Tanganyika na kuelekea Rhodesia kwa sababu habari zilimfikia ya kwamba Waingerea hawakuwa tena na jeshi huko. Tarehe 28 Septemba alivuka tena [[mto Rovuma]] akaendelea katika sehemu za kusini kupitia Songea na Mbozi. Mwezi wa Novemba aliingia Rhodesia ya Kaskazini. Tarehe 13 Novemba kikosi chake kiliteka mji wa [[Kasama]] ambako Waingereza wachache walikimbia walpomwona. Siku iliyofuata afisa Mwingereza alikaribia kambi yake na kumletea habari ya kwamba vita ilikwisha tayari na Ujerumani iliwahi kusimamisha mapigano yote tangu 11 Novemba 1918. Lettow alipatana na Waingereza kuongoza askari hadi mji wa Abercorn (leo [[Mbala, Zambia]]) aliposalimisha amri tarehe 23 Novemba 1918.
 
 
==BibliograiaBibliografia na masomo zaidi==
*Abbott, Peter. ''Armies in East Africa 1914–1918''. Osprey, 2002 ISBN 1-841-76489-2
*Anderson, Ross. ''The Forgotten Front: The East African Campaign: 1914–1918''. Tempus Publishing, Ltd. 2004 ISBN 0-752-42344-4
Line 26 ⟶ 59:
*Stevenson, William. ''The Ghosts of Africa''. New York: Ballantine Books. 1981 ISBN 0-345-29793-8 (fictionalized account)
*Young, F. Brett. "Marching on Tanga." New York: E.F. Dutton & Co. 1917.(Medical officer's account of campaigning with General Smuts.)
 
==Marejeo==
{{marejeo}}