Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza kadhaa
Mstari 1:
[[Picha:East Africa WWI as at August 1915.png|thumb|300px|Ramani ya vita ya Afrika ya Mashariki mwaka 1915 <small>(kutoka New York times)</small>]]
'''Kampeni za Afrika ya Mashariki''' ulikuwa mfululizo wa mapigano ya kivita yaliyotokea [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] (Tanganyika, Rwanda na Burundi ya leo) na koloni jirani za [[Msumbiji]], [[Rhodesia ya Kaskazini]] (Zambia), [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (Kenya), [[Uganda]], na [[Kongo ya Kibelgiji]]. Kampeni hizi zilianza mwezi wa Agosti 1914 zikaisha rasmi mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1918.<ref name="Holmes 2001, p. 361">Holmes 2001, p. 361.</ref>
 
[[Picha:Askari.jpeg|thumb|250px|Askari wa jeshi la kijerumani]]
==Wajerumani na mataifa ya ushirikiano==
Wapiganaji katika vita hii walikuwa jeshi la kikoloni cha Kijerumani lililofanywa hasa na askari Waafrika waliosimamiwa na maafisa Wajerumani pamoja na walowezi Wajerumani na wanamaji wa manowari waliokaa Afrika ya Mashariki wakati wa mwanzo wa vita 1914. Dhidi yao walisimama jeshi dogo la kikoloni la Kiingereza katika Kenya na Rhodesia, halafu vikosi vya jeshi la kikoloni la Uhindi ya Kiingereza na vikosi kutoka Afrika Kusini. Kutoka magharibi walishiriki vikosi za Force Publique ya Kibelgiji kutoka Kongo. Tangu mwaka 1916 jeshi la kikoloni la Kireno liliingia upande wa Uingereza.
[[Picha:Askari.jpeg|thumb|250px|Askari wa jeshi la kijerumani]]
Mikakati ya jeshi la kikoloni la Kijerumani lililoongozwa na Luteni Koloneli (baadaye ''Meja-jenerali'') [[Paul Emil von Lettow-Vorbeck]] ililenga kuwalazimisha wapinzani hasa Waingereza kutumia wanajeshi wengi iwezekanavyo katika Afrika kwa shabaha ya kuwazuia wasipatikane kwenye vita ya Ulaya.