Fransisko Maria wa Camporosso : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Fransisko Maria wa Camporosso''' (1804 - 1866) alikuwa mtawa ombaomba wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka mkoa wa [[Liguri...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Camporosso-statua san francesco maria.JPG|thumb|250px|Sanamu ya Fransisko Maria karibu na Camporosso.]]
'''Fransisko Maria wa Camporosso''' ([[1804]] - [[1866]]) alikuwa [[mtawa]] [[ombaomba]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]] kutoka [[mkoa]] wa [[Liguria]] (siku hizi nchini [[Italia]].
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[30 Juni]] [[1929]], halafu [[Papa JohnYohane XXIII]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[9 Desemba]] [[1962]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa tarehe [[19 Septemba]].
[[Image:Padre Santo chapel (2009).jpg|thumb|[[Masalia]] ya Mt. Fransisko Maria mjini [[Genoa]].]]
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.ofm.org/ ORDO FRATRUM MINORUM — OFM — The homepage of the first order of Franciscans, Friars Minor.]
Line 12 ⟶ 11:
*[http://www.capuchin.com The Capuchin-Franciscan Friars]
*[http://www.fraticappuccini.it/personaggi/santi/francesco.shtml]
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:Francis Maria Of Camporosso}}