Jumamosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Badiliko: ksh:Sambsdaach
No edit summary
Mstari 9:
 
== Jina la siku kwa Kiswahili na kwa lugha mbalimbali ==
Katika lugha ya [[Kiswahili]] jina la siku lina namba "1" ndani yake. Hii ni dokezo la asili ya Kiswahili katika utamaduni ya Kiislamu pasipo na athira ya [[Uyahudi]]. unaoanzaHesabu hesabuinaanza baada ya sikukuu ya Kiislamu ya [[Ijumaa]] ambayo ni siku ya sala ya pamoja: [[Jumamosi]] kuwa siku ya kwanza baada ya Ijumaa, [[Jumapili]] kama siku ya pili, [[Jumatatu]] kama siku ya tatu n.k.. Tabia hii katika Kiswahili ni ya pekee hasa kwa sababu [[Kiarabu]] ambacho ni lugha ya [[Korani]] takatifu na lugha ya kimataifa ya Waislamu kitumiakinatumia jina la Kiyahudi na kuiita siku ya '''سبت''' (sabat) yaani [[Sabato]].
 
Lugha nyingi za nchi za Kiislamu zafuata kawaida ya Kiarabu na kuiita vilevile Sabato kwa mfano [[Kiindonesia]] (Sabtu) au [[Kiajemi]] (Farsi) (شنبه - shanbe).