Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: sk:Wangari Maathaiová
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Wangari Maathai.jpg|thumb|Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya]]
 
'''Wangari Muta Maathai''' (alizaliwa [[1 Aprili]], [[1940]]-26 September 2011) nialikua mwanaharakati wa maswala ya mzingira na haki za wanawake kutoka nchi ya [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity (Kenya)|PNU]]'' akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.
Mstari 18:
 
Mwaka wa 1969, Wangari Muta (jina lake la kuzaliwa) alifunga ndoa na Mwangi Maathai, mwanasiasa wa Kenya. Wana watoto watatu, Waweru, Wanjira na Muta, lakini walitengana baadaye.
===
 
{{mbegu-mwanasiasa}}