Tofauti kati ya marekesbisho "Mauritania"

4 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
}}
 
'''Mauritania''' ni nchi ya [[Afrika]] kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi ni pwani la bahari ya [[Atlantiki]], upande wa kusini imepakana na [[Senegal]], upande wa mashariki na [[Mali]] na [[Algeria]], upande wa Kaskazini na [[Sahara ya Magharibi]] inayotawaliwa na [[Moroko]]. Mji mkuu ni [[Nouakchott]]. Mji wa pili na kitovu cha uchumi ni bandari ya [[Nouadhibou]] karibu na mpaka wa Sahara Magharibi.
 
Jina limeteuliwa kutokana na [[Mauritania (ufalme)|Mauritania ya kale]] iliyokuwa ufalme wa [[Kiberber]] kusini ya [[Mediteranea]] katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.