Watiriko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
"'''Watiriko":''' ni kabila dogo lililolililokaa kusini mwaya [[wilaya ya Mpwapwa]], [[mkoa wa Dodoma]] ulio kati katikatikati ya nchi ya [[Tanzania]]. Kabila hili lina asili ya mchanganyiko wa kabila la [[Wahehe]] na kabila la [[Wagogo]]. Maneno yao ni mchanganyiko wa maneno ya kabila hizo mbili. Isipokuwa mila na desturi zao zimeelemea sana kwa Wagogo, mfano;: wanatahiliwanatahiri watoto wa kiume na wa kike, michezo yao ya kiutamaduni na nyimbo zao ni za Kigogo. Inasemekana wahamizi wa zama za vita za kikabila kabla ya vita kuu ya kwanza, walitokea upande wa kusini mwaya Tanganyika hasa [[mkoa wa Iringa]], wakaja mpaka mto Ruaha, wakavuka mto hadi Mpwapwa kusini ya sasa, wakachagua kuishi huko.
 
Kusudi wapate kukubalika katika jamii ya nchi hii mpya (ambapo ilikuwa ni himaya ya Wagogo,Japo ijapo walikuta sehemu ile haikuwa na wakazi) iliwalazimu kuiga mila na desturi ya wenyeji wa karibu na eneo lile, mfano;: kutoga masikio, kutoa meno mawili ya chini, kufanya tohara kwa wanaume na watoto wa kike. Kwa njia hiyo walikubalika katika jamii ile na waliweza kuwa watawala (au ''watemi'').
Waliweza kuoa wenyeji wa pale, na matokeo yake ikapatikana lugha iliyokuwa mchanganyiko wa Kigogo na Kihehe, hadi leo lugha hiyo wanaitwa "Watiriko."
 
Waliweza kuoa wenyeji wa pale, na matokeo yake ikapatikana lugha iliyokuwa mchanganyiko wa Kigogo na Kihehe, hadi leo lugha hiyo wanaitwawanaiita "Watiriko[[Kitiriko]]."
 
[[Category:Makabila ya Tanzania|Tiriko]]