Tofauti kati ya marekesbisho "Port Bell"

103 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
[[Image:Port_Bell_Place_Uganda.png|thumb|300px|Mahali pa Port Bell katika Uganda]]
'''Port Bell''' ni mji mdogo karibu na [[Kampala]]/ [[Uganda]] ufukoni wa ziwa la [[Viktoria Nyanza]]. Jina la mji limetokana na Sir [[Hesketh Bell]] aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.
 
 
Kuna viwanda kadhaa kama vile [[Kiwanda cha Bia]] cha [[Uganda Breweries]]; [[bia]] ya [[Bell Lager]] inatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya [[Waragi]] na kiwanda cha chai.
 
 
[[en:Port Bell]]
[[de:Port Bell]]
[[he:פורט בל]]