Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ia:Wangari Maathai
Copyedit.
Mstari 2:
[[Picha:Wangari Maathai.jpg|thumb|Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya]]
 
'''Wangari Muta Maathai''' ([[1 Aprili]], [[1940]]-25 SeptemberSeptemba 2011) alikua mwanaharakati wa maswala ya mzingira na haki za wanawake kutoka nchi ya [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity (Kenya)|PNU]]'' akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.
 
=== Elimu na Tuzo ===
 
Maathai alihudhuria shule ya msingi ya Ihithe, halafu shule ya upili ya Loreto Convent, [[Limuru]]. Baada ya kuhitimu sekondari, alienda ng’ambo kusoma bayologia nchini [[Ujerumani]] na [[Marekani]]. Mwaka wa 1967, alipata shahada ya kwanza ya [[bayologia]] kutoka Chuo Kikuu cha Benedictine, Marekani. Aliendelea na masomo yake katika Chuo Kikuu cha Pittsburg ambako alipata shahada ya pili. Halafu alirudi Nairobi na kupata shahada ya udaktari kutoka [[Chuo Kikuu cha Nairobi]] katika somo la udaktari wa wanyama. Kuanzia mwaka wa 1977, Maathai alikuwa profesa msaidizi wa [[anatomia]] ya wanyama huko Nairobi akiwa mwanamke wa kwanza kupata uprofesa katika chuo kikuu cha Nairobi.
Baadhi ya tuzo zake ni Tuzo ya Mwanamke ya Dunia (1983), Tuzo ya Goldman kwa Mazingira (1991), ''Elder of the Burning spear'' (2003) kutoka serikali ya Kenya, Tuzo ya Nobel ya Amani (2004), na ''Legion D’Honneur'' (2006) kutoka serikali ya Ufaransa.
Line 18 ⟶ 17:
 
Mwaka wa 1969, Wangari Muta (jina lake la kuzaliwa) alifunga ndoa na Mwangi Maathai, mwanasiasa wa Kenya. Wana watoto watatu, Waweru, Wanjira na Muta, lakini walitengana baadaye.
 
===
 
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Maathai, Wangari}}