Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: lb:Wangari Maathai
sawazisho
Mstari 2:
[[Picha:Wangari Maathai.jpg|thumb|Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya]]
 
'''Wangari Muta Maathai''' (1 Aprili 1940-25 Septemba 2011) alikuaalikuwa mwanaharakati wa maswalamasuala ya mzingiramazingira na haki za wanawake kutoka nchi yanchini [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity (Kenya)|PNU]]'' akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.