Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marejeo chini ya ukurasa
link
Mstari 2:
[[Picha:Wangari Maathai.jpg|thumb|Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya]]
 
'''Wangari Muta Maathai''' (1 Aprili 1940 – 25 Septemba 2011) alikuwa mwanaharakati wa masuala ya mazingira na haki za wanawake kutoka nchini [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.<ref>Gettleman, Jeffrey. [http://www.nytimes.com/2011/09/27/world/africa/wangari-maathai-nobel-peace-prize-laureate-dies-at-71.html?scp=1&sq=wangarai%20maathai&st=cse "Wangari Maathai, Nobel Peace Prize Laureate, Dies at 71,"] ''New York Times.'' (US). September 26, 2011; Abudulai, S.M. [http://accra-mail.com/index.php?option=com_content&view=article&id=39421:tribute-to-wangari&catid=80:mainnews&Itemid=209 "Tribute to Wangari,"] ''The Mail'' (Ghana). 4 October 2011.</ref> Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity (Kenya)|PNU]]'' akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.