Tofauti kati ya marekesbisho "Dubai"

2 bytes removed ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
d (roboti Ondoa: as:ধুবুৰি (deleted))
'''Dubai''' ([[Kiarabu]]: دبيّ) ni ufalme katika Shirikisho la [[Falme za Kiarabu]] kwenye [[rasi ya Uarabuni]] na pia jina la [[mji mkuu]] wa ufalme huu.
 
[[MtawalaAmiri]] wa Dubai ambaye ni pia Makamu wa Rais wa shirikisho ni [[Mohammed bin Rashid Al Maktoum]].
 
Dubai ni ufalme mkubwa wa pili katika shirikisho baada ya [[Abu Dhabi]]. Iko kwenye mwambao wa [[Ghuba ya Uajemi]] kati ya [[Sharjah]] na Abu Dhabi. Kuna mji wa pili ni [[Hatta (Dubai)|Hatta]] mpakani na [[Oman]].