Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: uz:Xalifa
No edit summary
Mstari 22:
Muawiya kama jemadari ya Waislamu wa [[Dameski]] alikuwa khalifa mwaka [[661]] baada ya kifo cha Ali. Tangu Muawiya hakuna khalifa tena aliyechaguliwa; Muawiya alimteua mwanawe Yazid amfuate. Tangu siku zile cheo cha Khalifa kiliendela ama kwa mfuasi aliyeteuliwa na mwenye cheo au kilinyanganywa kwa njia ya kijeshi.
 
Wafuasi wa Muawiya waliendelea kutawala hadi [[750]] walipopinduliwa na wafuasi wa Abbas mjomba wa mtume Muhammad. Mmuawiya mmoja tu aliweza kukimbia hadi sehemu ya [[Hispania]] iliyotekwa na Waarabu alipopokelewa kwa heshima na kuanzisha [[Ukhalifa wa Wamuawiya wa [[Cordoba]] uliodumu katika Hispania hadi [[1031]].
[[Image:Harun Al-Rashid and the World of the Thousand and One Nights.jpg|thumb|150px|Harun ar-Rashid alikuwa mashuhuri kati ya makhalifa Waabbasi]]
===Waabbasi===