Umaru Yar'Adua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Rubinbot (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 137.222.118.114
Tengua pitio 674289 lililoandikwa na 137.222.118.114 (Majadiliano) - kuondoa marudiorudio
Mstari 1:
[[Picha:Umaruyaradua07052007.jpg|thumbnail|250px|<center>Umaru Yar'Adua</center>]] [[Picha:Umaruyaradua07052007.jpg|thumbnail|250px|<center>Umaru Yar'Adua</center>]]
 
- '''Umaru Musa Yar'Adua''' ([[16 Agosti]], [[1951]] – [[5 Mei]], [[2010]]) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini [[Nigeria]] na [[rais]] wa 13 wa nchi hiyo tangu [[2007]] hadi kifo chake mnamo mwaka [[2010]].Ni rais wa kwanza aliyekuwa na shahada ya awali katika historia ya Nigeria. + '''Umaru Musa Yar'Adua''' ([[16 Agosti]], [[1951]] – [[5 Mei]], [[2010]]) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini [[Nigeria]] na [[rais]] wa 13 wa nchi hiyo tangu [[2007]] hadi kifo chake hapo [[2010]]. Ni rais wa kwanza mwenye shahada katika historia ya Nigeria.
 
== Familia yake == == Familia yake ==
- Yar'Adua alikuwa Mwislamu aliyezaliwa katika familia ya Wafulbe katika Nigeria ya Kaskazini. Baba yake Musa Yar'Adua alikuwa waziri katika serikali ya kwanza ya nchi baada ya uhuru. Kaka yake jenerali Shehu Musa Yar'Adua alikuwa makamu wa rais chini ya Rais mstaafu Olusegun Obasanjo kati ya 1976 hadi 1979 na alifungwa jela chini ya udikteta wa [[Sani Abacha]]. + Yar'Adua ni Mwislamu aliyezaliwa katika familia ya Wafulbe katika Nigeria ya Kaskazini. Babake Musa Yar'Adua alikuwa waziri katika serikali ya kwanza ya nchi baada ya uhuru. Kakaye jenerali Shehu Musa Yar'Adua alikuwa makamu wa rais chini ya Olusegun Obasanjo kati ya 1976 hadi 1979 akafungwa jela chini ya udikteta wa [[Sani Abacha]].
 
== Elimu yake == == Elimu yake ==
- Umaru Yar'Adua alisoma kemia tangu 1972 kwenye chuo kikuu cha Ahmadu Bello mjini Zaria akawa mwalimu kwenye vyuo mbalimbali. Tangu 1983 aliacha kufundisha, akaanza kujishughulisha na makampuni mbalimbali. + Umaru Yar'Adua alisoma kemia tangu 1972 kwenye chuo kikuu cha Ahmadu Bello mjini Zaria akawa mwalimu kwenye vyuo mbalimbali. Tangu 1983 akaacha mafundisho akijishughulisha na makampuni mbalimbali.
 
== Gavana == == Gavana ==
- 1999 baada ya serikali ya Abacha alichaguliwa kuwa gavana wa jimbo la Katsina na akarudishwa tena mwaka 2003. + 1999 baada ya serikali ya Abacha alichaguliwa kuwa gavana wa jimbo la Katsina akarudishwa mwaka 2003.
 
- === Mwanasiasa mwadilifu? === + === Mwanasiasa asiye na rushwa? ===
- Yar'Adua alisifiwa kwa sababu alitangaza mali zake kabla ya uchaguzi 1999 na 2003. Inasemekana alikuwa gavana aliyekataa rushwa. Alikuwa kati ya magavana wachache wasiofuatiliwa au kushukiwa na mamlaka ya kupambana na rushwa "Economic and Financial Crimes Commission". + Yar'Adua alisifiwa kwa sababu alitangaza mali yake kabla ya uchaguzi 1999 und 2003. Anasemekana alikuwa gavana aliyekataa rushwa. Aliykuwa kati ya magavana wachache wasiochunguliwa na mamlaka ya kupambana na rushwa "Economic and Financial Crimes Commission".
 
=== Gavana na shari'a === === Gavana na shari'a ===
- Alipingwa kwa sababu alishiriki katika tangazo la muundo wa [[shari'a]] ya Kiislamu kuwa sheria ya jimbo wakati yeye ni gavana; Katsina lilikuwa jimbo la tano nchini Nigeria liliyotangaza shari'a. Aidha kesi ya mama [[Amina Lawal]] ilitokea chini ya ugavana wake. Mama huyo alishtakiwa chini ya shari'a kuwa alimzaa mtoto ilhali hakuolewa akahukumiwa auawe kwa kupigwa mawe. Baada ya watu wengi duniani kote kutuma maombi na serikali ya kitaifa kupinga hukumu hiyo, mahakama ya juu ilifuta hukumu na kumwokoa Amina. + Alipingwa kwa sababu alishiriki katika tangazo la muundo wa [[shari'a]] ya Kiislamu kuwa sheria ya jimbo wakati yeye ni gavana; Katsina ilikuwa jimbo la tano katika Nigeria iliyotangaza shari'a. Pia kesi ya mama [[Amina Lawal]] ilitokea chini ya ugavana wake. Mama huyu alishtakiwa chini ya shari'a kuwa alimzaa mtoto ilhali hakuolewa akahukumiwa auawe kwa kupigwa na mawe. Baada ya watu wengi kote duniani kuleta maombi na serikali ya kitaifa kupinga hukumu mahakama ya juu ilifuta hukumu na kumwokoa Amina.
- Yar'Adua anasemekana hakujaribu kumtetea wala kuzuia hukumu ya kifo. + Yar'Adua anasemekana hakujaribu kumtetea wala kuzuia hukumu ya mauti.
 
== Uchaguzi wa rais == == Uchaguzi wa rais ==
- Mwezi wa Desemba 2006 Umaru Yar'Adua aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama cha PDP kwa uchaguzi wa Aprili 2007. Rais Olusegun Obasanjo alimfanyia kempeni akapata kura nyingi na akamchagua [[Goodluck Jonathan]] (gavana wa [[Bayelsa]] katika kusini ya Nigeria)kuwa makamu wake. + Mwezi wa Desemba 2006 Umaru Yar'Adua aliteuliwa kuwa mgombea wa chama cha PDP kwa uchaguzi wa Aprili 2007. Rais Olusegun Obasanjo alimfanyia kempeni akapata kura nyingi na kumchagua kama makamu wake [[Goodluck Jonathan]] (gavana wa [[Bayelsa]] katika kusini ya Nigeria).
 
- Uchaguzi wa tarehe 21. Aprili ulipingwa na watazamaji wengi wa kitaifa na kimataifa kwa sababu ya udanganyifu ulioonekana mahala pengi. Hata hivyo Yar'Asdua alitangazwa kuwa mshindi aliyepata asilimia 70 ya kura zote. + Kura ya 21. Aprili ilipingwa na watazamaji wengi wa kitaifa na kimataifa kwa sababu ya udanganyifu ulioonekana mahala pengi. Hata hivyo Yar'Asdua alitangazwa kuwa mshindi aliyepata asilimia 70 za kura zote.
 
Wapinzani walidai uchaguzi urudiwe lakini Yar'Adua alikataa akiwakaribisha vyama vyote kuingia katika serikali ya umoja wa kitaifa na kusahihisha sheria ya uchaguzi. Wapinzani walidai uchaguzi urudiwe lakini Yar'Adua alikataa akiwakaribisha vyama vyote kuingia katika serikali ya umoja wa kitaifa na kusahihisha sheria ya uchaguzi.
 
- Tar. [[29 Mei]] [[2007]] akaapishwa kuwa rais mpya wa Nigeria. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, kuwa na maraisi wawili waliochaguliwa kwa kufuatana bila jeshi kuingilia. + Tar. [[29 Mei]] [[2007]] akaapishwa kuwa rais mpya wa Nigeria. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi ya kuwa maraisi wawili waliochaguliwa wamefuatana bila kungilia kwa jeshi.
 
{{DEFAULTSORT:Yar'Adua, Umaru}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1951]]
[[Jamii:Waliofariki 2010]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Nigeria]]
 
[[ar:عمر يارادوا]]
[[be:Умару Яр-Адуа]]
[[bg:Умару Ярадуа]]
[[cs:Umaru Yar'Adua]]
[[de:Umaru Yar’Adua]]
[[el:Ουμάρου Γιαρ Αντούα]]
[[en:Umaru Musa Yar'Adua]]
[[eo:Umaru Jar'Adua]]
[[es:Umaru Yar'Adua]]
[[et:Umaru Yar'Adua]]
[[fa:عمرو یارادوآ]]
[[fi:Umaru Yar’Adua]]
[[fr:Umaru Yar'Adua]]
[[he:עומארו יאר אדואה]]
[[hr:Umaru Yar'Adua]]
[[id:Umaru Yar'Adua]]
[[ig:Umaru Yar'Adua]]
[[io:Umaru Musa Yar'Adua]]
[[it:Umaru Yar'Adua]]
[[ja:ウマル・ヤラドゥア]]
[[jv:Umaru Yar'Adua]]
[[kn:ಉಮರು ಯಾರ'ಆದುಅ]]
[[ko:우마루 야르아두아]]
[[lb:Umaru Yar'Adua]]
[[lt:Umaru Yar'Adua]]
[[ml:ഉമറു യാർ അദുവ]]
[[ms:Umaru Yar'Adua]]
[[nds:Umaru Yar’Adua]]
[[nl:Umaru Yar'Adua]]
[[no:Umaru Yar'Adua]]
[[oc:Umaru Musa Yar'Adua]]
[[pl:Umaru Yar'Adua]]
[[pt:Umaru Yar'Adua]]
[[ro:Umaru Yar'Adua]]
[[ru:Яр-Адуа, Умару]]
[[sh:Umaru Yar'Adua]]
[[sv:Umaru Yar’Adua]]
[[szl:Umaru Yar'Adua]]
[[ta:உமரு யராதுவா]]
[[tl:Umaru Yar'Adua]]
[[uk:Умару Яр-Адуа]]
[[yo:Umaru Musa Yar'Adua]]
[[zh:奥马鲁·亚拉杜瓦]]