[[Picha:AleppoMaroniteCathedral.jpg|thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep]] ([[Syria]]).]]
'''Kanisa la Wamaroni''' ni [[Kanisasehemu suikubwa iuris]]mojawapo (yaaniya ''lawatu kujitegemea'') ndani yawa [[Kanisa KatolikiLebanoni]].
Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na [[historia]] yao, ni [[imani]] ya [[Ukristo|Kikristo]] katika [[Kanisa la Wamaroni]], ambalo lina [[ushirika kamili]] na [[Papa]] wa [[Roma]] na [[Kanisa Katoliki]] lote duniani.
Linafuata [[mapokeo]] maalumu ya mashariki yenye mzizi katika [[Ukristo]] wa lugha na utamaduni wa [[Kiaramu]] uliokuwa na makao makuu [[Antiokia]] ya [[Syria]].
[[Jamii: UkristoLebanoni]] ▼
Linatunza [[liturujia]], [[teolojia]] na [[maisha ya kiroho]] ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na [[Maroni]], [[mwanzilishi]] wa [[monasteri]] maarufu katika [[karne ya 4]].
[[Patriarki]] wake anachaguliwa na [[Sinodi]] ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba [[Papa]] wa [[Roma]] ushirika kamili. Anaishi [[Bkerke]] ([[Lebanoni]]), ambapo ana [[jimbo]] lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.
Huko [[Lebanoni]], ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.
== Viungo vya nje ==
* [http://www.bkerke.org.lb Tovuti rasmi ya Kanisa la Wamaroni]
* [http://www.gcatholic.com/dioceses/data/riteM.htm Orodha ya majimbo ya Kanisa la Wamaroni]
[[arc:ܡܪܘܢܝܐ]]
[[sl:Maroniti]]
[[sq:Maronitët]]
[[sw:Wamaroni]]
[[tr:Maruniler]]
[[yi:מאראן]]
|