Kifaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
dNo edit summary
Mstari 17:
''[[Rhinoceros]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
'''KifaruVifaru''' au '''faru''' ni wanyamapori wakubwa wa familia [[Rhinocerotidae]]. Spishi wawili kati ya hawa wanapatikana Afrika na wengine watatu huko Asia. Huko India wamebaki faru 2700 tu na hata faru weupe nao wameadimika sana duniani.
 
Faru hufahamika sana kwa umbo lake kubwa (ni miongoni mwa wanyama wala nyasi waliobakia); huku kila spishi ya faru ikikaribia kuwa na uzito wa tani moja na ngozi ngumu ya kujilinda, yenye unene was m 1-5-5; ubongo mdogo wa mamalia (gramu 400-600) na pembe kubwa. Wao hula sana majani. Faru wa Afrika hukosa meno ya mbele na na kutegemea zaidi magego katika kusaga chakula.