Encyclopedia Britannica : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Badiliko: la:Encyclopaedia Britannica
kuongezea minyama ya nguvu! Bado inaendelea...
Mstari 1:
[[File:Encyclopaedia Britannica 15 with 2002.jpg|right|thumb|350px|Toleo la 15 la ''Britannica''. Toleo la awali lenye ufito wa kijani ni ''Propædia''; matoleo yenye ufito mwekundu na ufito-mweusi ni ''Micropædia'' na ''Macropædia'', kwa pamoja. Toleo tatu za mwisho ni za Kitabu cha Mwaka wa 2002 (yenye ufito mweusi) na matoleo makuu-mawili (yenye ufito wa buluu iliokoza).]]
[[Picha:Encyclopaedia Britannica 15 with 2002.jpg|thumb|Editio 15 encyclopaediae Britannicae]]
'''Encyclopædia Britannica''' ni [[kamusi elezo]] kubwa na moja kati ya kamusi elezo iliyo-maarufu zaidi. Inaandikwa kwa lugha ya [[Kiingereza]]. Kamusi elezo hii huchapishwa na kampuni binafsi ya [[Encyclopaedia Britannica, Inc]]. Awali ilikuwa ikichapishwa kwenye karatasi tu, lakini hivi karibuni imepanuka na kuwa na [[dijiti]], au matoleo ya kompyuta vilevile. Kamusi elezo hii imegawanyika katika vitabu vingi sana. Makala za kwenye vitabu zimepangwa kwa mtindo wa kialfabeti. Kumekuwa na matoleo yake ambayo ni kwa ajili ya watoto vilevile. Hii ni kamusi elezo kubwa sana ya kuchapishwa. Kamusi elezo iliyo-kubwa ziadi ni [[Wikipedia]]. Watu wengi huhesabia kwamba ni kamusi elezo bora, kwa sababu ipo sahihi na ina mambo mengi.
'''Encyclopædia Britannica''' ni [[kamusi elezo]] ya [[Kiingereza]] iliyoanzishwa mwaka 1768 mjini [[Edinburgh]] [[Uskoti]]. Hadi kukua kwa [[wikipedia]] ilikuwa pia kamusi elezo kubwa duniani.
 
Britannica imelenga kuonyesha ujuzi na elimu yote ya dunia. Imejipatia sifa ya kuwa makala zake zatoa maelezo mazuri pia ya undani. Hadi leo inatazamwa na watu wengi ni kamusi elezo bora duniani.
 
Kamusi elezo hii awali ilikuwa ndogo sana, toleo la kwanza lilikuwa na vitabu vitatu na ilitolewa mnamo mwaka wa 1768. Polepole likawa kubwa zaidi. Toleo jipya, toleo la 15, sasa lina vitabu takriban 29, jumlisha vitabu viwili ambavyo ni faharasa. Pia imemjulisha kitabu cha ziada kiitwacho [[Propaedia]], kwa ajili ya kuainisha [[ufahamu]]. Vitabu 29 vimeumba [[Macropaedia]] na [[Micropaedia]]. Macropædia ni kikubwa kuliko vingine, chenye makala yenye maelezo zaidi ambazo pia zaweza kuwa na kurasa 300, -metengenezwa kwa vitabu 17, wakati Micropædia ni kidogo ambacho kawaida huwa na makala fupi na maneno machache chini ya 750. Micropædia hutumika kwa ajili ya kutazama kwa haraka zaidi, lakini iwapo utahitaji habari zaidi basi inakubidi utumie Macropædia. Kila kitabu kimoja ni kikubwa sana, zaidi ya kurasa 1,000 kwa kitabu. Kuna vitabu vya mwaka. Kila mwaka, kitabu kimechapishwa kuhusu matukio ya mwaka huo.
 
Makala za kwenye Britannica ni kwa ajili ya watu wazima walio-elimika, si kwa ajili ya watoto, na imeandikwa na wahariri takriban 100 na wachangiaji wataalamu zaidi ya 4,000. Watu wengi hudhania ni kamusi elezo bora, lakini [[Wikipedia]] bado inabaki kuwa maarufu kwa kuwa matumizi yake ni bure. Britannica ni kamusi elezo ya kale kwa lugha ya Kiingereza mpaka sasa. Ilianza kuchapishwa kwa mara ya kwanza kunako mwaka kati ya 1768 na 1771 huko mjini [[Edinburgh]], [[Uskoti]] na kukua kwa umaarufu mkubwa, ikiwa na toleo lake la tatu mnamo [[1801]] ikiwa imeongeza vitabu 21.
 
Ukubwa wa vitabu vya Britannica karibia vyote vinafanana kwa takriban miaka 70, ikiwa na maneno yapatayo milioni 40 ikiwa ni nusu ya mada zilizopo ndani ya vitabu vyenyewe. Kamusi elezo hii awali ilikuwa ikimilikiwa na [[Uingereza (nchi)|Uingereza]]. Kwa sasa inamilikiwa na [[Marekani]], lakini bado inaandikwa kwa [[Kiingereza cha Uingereza]]. Muda wa ziada, kamusi elezo hii imekuwa na kipindi kigumu cha upatikanaji wa fedha, kitu ambacho kamusi elezo nyingi huzikumba.
 
== Historia ==
Britannica imekuwa ikimilikiwa na watu tofauti, ikiwa ni pamoja na wachapishaji wa Kiskoti [[A & C Black]], [[Horace Everett Hooper]], [[Sears Roebuck]] na [[William Benton]]. Encyclopædia Britannica, Inc. inamilikiwa na [[Jacqui Safra]], bilionea mwigizaji wa [[Switzerland|Uswisi]]. Teknolojia ya habari imekuwa vyema zaidi hivi karibuni na imekuwa kamusi elezo ya kielektronikia zaidi kama vile ''[[Microsoft]] [[Encarta]]'' na [[Wikipedia]] zimefanya watu kuto nunua kamusi elezo za kuchapishwa tena.<ref>{{cite web | url = http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/40033.stm | title = Encyclopaedia Britannica changes to survive | last = Day | first = Peter | date = [[17 December]] [[1997]] | publisher = [[BBC News]] | quote = Sales plummeted from 100,000 a year to just 20,000. | accessdate = 2007-03-27}}</ref> Hata hivyo bado inaweza kusalia, Encyclopædia Britannica, Inc. inaendelea kuwaambia watu kwamba ''Britannica'' ni nzuri na ipo sahihi zaidi, wametengeneza kamusi elezo ya bei rahisi, na kutengeneza matoleo ya kielektroni kwenye [[CD-ROM]], [[DVD]] na [[Tovuti]]. ''Tangu mwanzoni mwa miaka ya 1930, kampuni pia imekuwa ikitafutia masoko ya kazi za faida ya haraka.''<ref name="encyclopedia_1954">{{cite encyclopedia | year = 1954 | title = Encyclopædia | encyclopedia = Encyclopædia Britannica | edition= 14<sup>th</sup> edition}}</ref>
==Matoleo==
{| align="left" border="1" cellpadding="5" cellspacing="0"
|+'''Matoleo ya Encyclopedia Britannica'''
Line 32 ⟶ 40:
 
Toleo la 16 la 2004 lina makala 75,000 yenye maneno milioni 44. Vitabu vyake 32 zaweza kunununuliwa kwa [[USD]] 1,400 kwa umbo la karatasi. Zapatikana pia kwa bei nafuu kama CD au DVD na kusomewa kwa compyuta.
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-kitabu}}