Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Jumuia"

no edit summary
(takwimu)
'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 17:10, 16 Oktoba 2011 (UTC)
 
:::Wapendwa, lugha ya pili ni Malagasy. Nakubali ubora wetu kushinda wa lugha nyingine za Afrika (isipokuwa Afrikaans), lakini Muddy alivyoniandikia siku moja hata idadi ya makala ina umuhimu wake. Labda tujitahidi sote kuingiza mbegu kadhaa, hasa za makala 1000 muhimu zaidi, halafu tuendelee na makala ndefu na zenye picha. Amani kwenu. --[[Maalum:Michango/41.221.34.70|41.221.34.70]] 08:18, 17 Oktoba 2011 (UTC)
 
 
 
[[af:Wikipedia:Geselshoekie]]
Anonymous user