Ufashisti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|[[Fascio Littorio, ishara ya ufashisti iliyoupatia jina.]] '''Ufashisti''' ni siasa ya [[mrengo w...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:55, 17 Oktoba 2011

Ufashisti ni siasa ya mrengo wa kulia ambayo ilitawala Italia tangu mwaka 1922 hadi 1945 ikiongozwa na dikteta Benito Mussolini.

Fascio Littorio, ishara ya ufashisti iliyoupatia jina.

Kutokana nayo, aina za siasa zinazofanana zinaitwa pia ufashisti.