Derek Barton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Derek Harold Richard Barton''' (8 Septemba, 191816 Machi, 1998) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichu...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:07, 15 Agosti 2007

Derek Harold Richard Barton (8 Septemba, 191816 Machi, 1998) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Mwaka wa 1969, pamoja na Odd Hassel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".