Mataifa ya ushirikiano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Badiliko: fi:Liittoutuneet
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:WWII_powers.png|thumb|300px|Mataifa ya Dunia wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia; <br>'''Njano-dhahabu:''' Ujerumani, Italia, Japani na nchi zilizoshikamana nazo; '''Kijani cheusi''': Mataifa ya ushirikiano kabla ya Disemba 1941 (Pearl Harbour); '''Kijani kibichi''': Mataifa yaliyojiunga na ushirikiano tangu Pearl Harbour hadi 1945]]
'''Mataifa ya ushirikiano''' ''([[Kiing.]]: Allied powers, Allies of WW II)'' yalikuwani jina la kutaja mataifa yaliyojiungayaliyoungana pamoja dhidi ya [[Ujerumani]] na nchi zilizoshikamana nayo hasa wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] na pia wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].
 
[[Ujerumani]] ilishambulia [[Poland]] tarehe 1 Septemba 1939. [[Ufaransa]] na [[Uingereza]] ziliwahi kutia saini mikataba ya ulinzi pamoja na Poland hivyo zilitangaza hali ya vita dhidi ya Ujerumani. [[Kanada]], [[Australia]], [[New Zealand]] na [[Afrika Kusini]] zilizokuwa nchi huru ndani ya [[British Commonwealth]] zilifuata zikatangaza vita dhidi ya Ujerumani katika siku za kwanza za Septemba [[1939]].