Robert Penn Warren : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Robert Penn Warren''' (24 Aprili, 190515 Septemba, 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1947...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:00, 17 Agosti 2007

Robert Penn Warren (24 Aprili, 190515 Septemba, 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1947, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake All the King's Men (Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, miaka ya 1958 na 1979.