Samuel Eliot Morison : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Samuel Eliot Morison''' (9 Julai, 188715 Mei, 1976) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea '''Tuzo ya Pulitzer''' mara mbi...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:17, 17 Agosti 2007

Samuel Eliot Morison (9 Julai, 188715 Mei, 1976) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, kwanza mwaka wa 1943 kwa wasifu yake ya Kristoforo Kolumbus, na tena 1960 kwa wasifu yake ya John Paul Jones.