Carl Sandburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Carl Sandburg''' (6 Januari, 187822 Julai, 1967) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1940, alipokea '''[[Tuzo ya Pulitz...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:18, 17 Agosti 2007

Carl Sandburg (6 Januari, 187822 Julai, 1967) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1940, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa wasifu yake ya Rais Abraham Lincoln.