Adalbert wa Magdeburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d [r2.5.2] roboti Nyongeza: es:Adalberto de Magdeburgo
Copyedit.
Mstari 1:
[[Image:Adalbert of Magdeburg.jpg|200px|thumb|Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg]]
 
'''Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg''' (na '''Adalbert wa Magdeburg''') (alifariki tarehe [[20 Juni]], [[981]]) alikuwa [[mmisionari]] na [[askofu mkuu]] wa kwanza wa [[mji]] wa [[Magdeburg]], [[Ujerumani]].
 
Ametambuliwa kuwa [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[20 Juni]].
 
==Maisha==
Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa [[mtawa]] katika [[monasteri]] ya [[Wabenedikto]] wa mji wa [[Trier]].
 
Baada ya kuwekwa [[wakfu]] kama [[askofu]], mwaka [[961]] alitumwa mjini [[Kiev]] ([[Ukraine]]) kama [[mmisionari]].
 
Kundi lake lote liliuawa, naye peke yake aliweza kurudi Ujerumani.
 
Baadaye aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa [[dayosisi]] ya Magdeburg.
 
Alianzisha madayosisi mapya mengi upande wa Mashariki wa Ujerumani, kama katika miji ya [[Naumburg]], [[Meisen]], [[Merseburg]], [[Brandenburg]], [[Havelberg]], na [[Poznan]].