Penisilini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ps:پنسلين
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: za:Cinghmoizsoq; cosmetic changes
Mstari 2:
{{pp-move-indef}}
 
[[FilePicha:Penicillin core.svg|thumb|250px|Muundo msingi wa Penicillin. Kundi ya "R" ndio inatofautika.]]
'''''' Penicillin(wakati mwingine hujulikana kwa ufupi kama PCN ama pen) ni kikundi mdawa ya antiboitiki zinazotoka kwa penicillium fungi. Antibiotiki za penicillin zina umuhimu wa kihistoria kwa sababu ni dawa za kwanza zilizokuwa na manufaa kwa kukinga magonjwa mengi za hapo mbeleni zilizokuwa na uzito kwa mfano magonjwa kama syphilis na maambukizi za Staphylococcus. Penicillin bado zinatumika sana leo,ijapokuwa aina nyingi za bacteria sasa hazisikii dawa. Penicillin zote ni antibiotiki za Beta-lactam na zinatumika kwa kutibu maambukizi ya bakteria sinazosababishwa na susceptible,kwa kawaida viini Gram-positive.
 
Neno "penicillin" inaweza pia kumaanisha mchanganyiko wa vitu vilivyotengenezwa kwa ni naturala na ambazoeza pia kutumika kumaanisharejea kwa ''mchanganyiko'' wa chembechembe ambazo ni kawaida, na kemikali zinazozalishwa. <ref name="urlpenicillin - Definition from Merriam-Websters Medical Dictionary">{{cite web |url=http://medical.merriam-webster.com/medical/penicillin |title=penicillin - Definition from Merriam-Webster's Medical Dictionary |format= |work= |accessdate=2009-01-02}}</ref>
 
== Muundo ==
[[FilePicha:Penicillin-nucleus-3D-balls.png|thumb|Muundo msingi wa penicillin,katika 3D.Sehemu Zambarau vikundi vinavyotofautika.]]
Neno "penam" inatumika kuchambua mifupa ya moja ya antibiotiki ya penicillin. Mifupa hii ina fomula ya muundo R-C9H11N204s,ambapo R ni nyororo ya kando inayotofautika.
 
Penicillin ya kawaida ina uzito masi ya 313 hadi 334g/mol(ya mwisho ikiwa ya penicillin) karibu zna makundi ya ziada Masi masharti inaweza kuwa na molek uli gego karibu 500 g / Mol. Kwa mfano,cloxacillin ina masi ya molar ya 476g/mol na dicloaxillin ina masi ya molar ya 492g/mol.
 
== Biosynthesis ==
[[FilePicha:Penicillin-biosynthesis.png|thumb|Penicillin biosynthesis.]]
Kwa jumla,kuna jumla tatu kuu za njia za biosynthesis za penicillin G (benzylpeninillin)
*Hatua ya kwanza katika biosynthesis ya penicillin G ni condensation ya amino asidi L-α-aminoadipic,L-cysteine, L-valine kuwa tripeptide. Kabla ya condensing kuwa tripeptide,amino asidi L-valine itapitia epimerization na kuwa D-valine. Baada ya kondensation,tripeptide linapewa jina δ-(L-α-aminoadipyl)-L-cysteine-D-valine,inayojulikana pia kama ACV.Mmenyuko hii inapotokea,ni lazima tuongeze anzyme ACVS ya kusukuma matokeo,inayojulikana pia kama, ambayo pia hujulikana kama δ-(L-α-aminoadipyl)-L-cysteine-D-valine synthetase. Enzyme hii ya ACV inayosukuma matokeo inahitajika kwa uanzishi wa amino asidi hizo tatu kabla ya kondensation na epimerization ya kugeuza L-valine kuwa D valine.<br />
*Hatua ya pili katika biosynthesis ya penicillin G ni kutumia enzyme kubadilisha ACV kuwa isopenicillin N.Enzyme ni isopenicillin N synthase na gene pcbC ndani yake. Tripeptide iliyoko kwa ACV kisha itapitia oxidation,ambayo inaruhusu mviringo iliyofungwa ili mviringo bicyclic itengenezwe. Isopenicillin N ni dhaifu kati sana kwa haionyeshi kazi maalum ya antibiotiki.
*Hatua ya mwisho katika biosynthesis ya penicillin G ni ubadilishi wa kikundi cha nyororo ya kando ili isopenicillin N iwe penicillin G.Kupitia kwa catalytic coenzyme isopenicillin N acyltransferase (IAT), nyororo ya kando ya alpha-aminoadipyl ya isopenicillil N inaondolewa na kubadilishwa na Nyororo ya kando ya phenylacetyl.Mabadiliko hii inakuwa encoded na gene penDE, ambayo ni tofauti kipekee katikamchakato wakupata. <ref name="Regulation"></ref>
 
== Historia ==
=== Ugunduzi ===
{{Main|History of penicillin}}
Ugunduzi wa penicillin umesemekana kuwa ilifanywa na mwanasayansi Scottissh na mtarajiwa wa tuzo la Nobel Alexander Fleming mwaka wa 1928. Alionyesha kuamba,kama penicillium notatum ilipandwa katika hali inayofaa,itaonyesha kitu iliyo na miundo ya antibiotiki,aliyobandika jina penicillin.Uchunguzi huu ulialianzisha zama za kisasa za ugunduzi wa antibiotiki. Maendeleo ya penicillin kutumika kama dawa unatokana na mtarajiwa wa tuzo la Nobel kutoka Australia Howard Walter Florey pamoja na mtarajiwa Mjerumani wa tuzo la Nobel Ernst Chain na mwanachemist mzungu Norman Heatley.
Mstari 33:
Kwa maendelezi katika karne ya 19 ya mbinu za msingi za uchunguzi wa kisayansi na mazoezi katika sayansi zote za maumbile,habari za anecodal heuristic kuhusu "tiba" kutoka kwa utekelezaji wa ajenti za kawaida dhidi ya uendelezi wa ugonjwa inaweza kuwekwa kwa uchunguzi mkali. Kazi hii,lileta ugunduzi unaofuatana wa jinsi viumbe hai hupata maambukizi,jinsi vinavyokimu maambukizi mara tu ianzapo;na,muhimu zaidi(katika kesi ya penicillin),ajenti zipi,za kuumbikana za kutengenezwa na binadamu zinavyoweza kufanya,ku athiri maendeleo ya uambukizi huo ndani ya kiumbe hai.
 
Fleming alielezea kuwa tarehe ya ugunduzi wake wa penicillin ilikuwa asubuhi ya Ijumaa, Septemba 28, 1928. <ref>{{cite book |author=Haven, Kendall F. |title=Marvels of Science : 50 Fascinating 5-Minute Reads |publisher=Libraries Unlimited |location=Littleton, Colo |year=1994 |pages=182 |isbn=1-56308-159-8 }}</ref> Ilikuwa ni ajali ya kujitoa:katika maabara yake katika chumba cha chini cha hospitali ya St.Mary's huko London,katika [[London|London]]London(wakati huu iko pamoja na Imperial College),Fleming aliona kibakuli iliyokuwa na sahani ya culture ya Staphylococcus aliyokuwa ameiwacha wazi kwa bahati mbaya,na ika chafuliwa na mould iliyokuwa blu na kijani kibichi,iliyokuwa imemea na ilikuwa inaonekana. Kulikuwa na halo ya kumea kwa bakteria uliyozuiliwa ambao umezunguka mould hio. Fleming alihitimisha kuwa mold ilikuwa inatoa dutu iliyokuwa inazuia kumea na lying ya bakteria.kwamba alikuwa repressing ukuaji na lysing bakteria. Alipanda culture isiyochanganyika na kugundua ya kwamba ilikuwa dutu ya penicillin.,inayojulikana sasa kuwa penicillium notatum. Charles Thom, mtaalam wa Marekani afanyaye kazi katika Idara ya kilimo ya Marekani,alikuwa mtaalam aliyekubalika,na Fleminh akapendekeza mambo hayo kwake. Fleming alizindua neno "penicillin" kuelezea filtrate ya mchanganyiko ya culture ya penicillin mould. Hata katika hatua hizi za kwanza,pnicillin alipatikana kuwa na ufanisi zaidi dhidi ya bakteria yaGram-positive,nakutokuwa na ufanisi dhidhi ya viumbe Gram-negative
na fungi. Alionyesha matumaini hapo awali kwamba penicillin itakuwa disinfectant inayosaidia,kwa kuwa potent katika hali ya juu ikiwa na toxicity kidogo ikilinganishwa na antiseptiki ya siku,na thamani yake ya maabara katika utenganishi ya "Bacillus influenzae"(kwa sasa inajulikana kama Haemophilus influenzae). Baada ya majaribio zaidi,Fleming alishawishika kwamba penicillin haingedumu ya kutosha kwenye mwili wa binadamu kuua pathojenic bakteria,na akawacha kuisomea baada ya 1931. Alianzisha tena majaribio za klinikimwaka wa 1934,na akaendelea kujaribu kupata mtu atakayeisafisha mpaka mwaka 1940.
 
=== Uwekezaji wa Matibabu ===
Mwaka wa 1930, Cecil George Paine,aliyekuwa pathologist katika Royal firmary huko Sheffield, alijaribu kutumia penicillin kutibu sycosis barbae-milipuko katika milipuko katika follicles za ndevu,lakini hakufanikiwa,labda kwa sababu dawa hiyo haikuingia ndani ya ngozi vizuri inavyofaa. Kuendelea mbele kwa neonatorum ophthalmia;maambukizi ya gonococcal kwa watoto wachanga,aliweza kufanikiwa kupata tiba ya kwanza ya penicillin iliyorekodiwa,tarehe25,1930. Kisha alitibu wagonjwa wengine wanne(mtu mmoja mzima na watoto watatu wachanga)maambukizi ya macho,huku akikosa kutibu kutibu wa tano.
 
Mnamo mwaka wa 1939, Mwanasayansi kutoka Australia Howard Walter Florey (baadaye Baron Florey) na timu ya watafiti [[Ernst Boris Chain|(Ernst Boris Chain,]] AD Gardner, Norman Heatley, M. Jennings, J. Orr-Ewing na G. Sanders) katika chuo cha Sir William Dunn ya patholoja,chuo kikuu cha Oxford ilikuwa na maendeleo makuu katika kuonyesha matendo ya in vivo baktericidalgy ya penicillin.Majaribio yao ya kutibu binadamu haikufanikiwa kwa sababu ya ukosefu kiasi cha penicillin ya kutosha,(mgonjwa wa kwanza kutibiwa alikuwa Reserve Constable Albert Alexander),lakini wakaionyesha kuwa bila madhara na ya kufanya kazi vyema kwa panya.
 
Baadhi ya majaribio ya kutangulia ya penicillin ilifanyika katika Radcliffe Infirmary huko Oxford,Uingereza. Majaribio haya yanaendelea kutajwa na baadhi ya vyanzo vya awali kama matibabu ya kwanza ya kutumia penicillin,ijapokuwa majaribioya Paine yalifanyika mapema. <ref name="Wainwright, M & Swan, HT 1986 42–56"></ref> KAtika mwezi wa Machi 14, mwaka wa 1942, John Bumstead na Orvan Hess waliokoa maisha ya mgonjwa aliyekuwa anafariki kutumia penicillin.
 
=== Utengenezi wa uwingi ===
Muundo wa kikemikali wa penicillin uliamuliwa na Dorothy Crowfoot Hodgkin mwaka wa 1945. Penicillin imekuwa antibiotiki inayotumiwa zaidikuwa hadi leo,na bado inatumiwa kwa maambukizi mengi ya bakteria ya Gram-positive. Timu ya wanasayansi watafiti wa Oxford wakiongozwa na Howard Walter Florey kutoka Australia na pamoja na [[Ernst Boris Chain|Ernst Boris Chain]] na Norman Heatley walitengeneza njia ya kutengeneza dawa hii kwa uwingi. Florey na Chain waligawana zawadi ya Nobel mwaka wa 1945 ya dawa na Fleming kwa kazi yao. Baada ya vita ya pili kuu ya duniani, [[Australia|Australia]] ilikuwa nchi ya kwanza kutengeneza hio dawa inayopatikana kwa matumizi ya mwananchi. Mwanachemist John C. Sheehankatika MIT alikamilisha sinthesis ya kwanza kamilifu ya penicillin na baadhi ya analog zake nyakati za kwanza 1950,lakini njia hizi zake hazikuwa za maanufaa kwa utengenezi wa uwingi.
 
Changamoto ya kutengeneza dawa hii kwa uwingi ilikuwa ngumu. Mwezi wa Machi 14,1942,mgonjwa wa kwanza alitibiwa kwa streptococcal septisemia kwa kutumia penicillin iliyotengenezwa Marekani na Merck &amp; Co. <ref>[43] Matumizi ya kwanza Penicillin Marekani,na Charles M. Grossman. '''' Annals ya Madawa ya Ndani tarehe 15 Julai 2008: Volume 149, Makala ya 2, Kurasa 135-136.</ref> Nusu ya jumla ya usambazaji iliyotengenezwa wakati huo ilitumika kwa mgonjwa huyo mmoja. Kufikia mwezi wa Juni 1942,kulikuwa na penicillin ya marekani ya kutosha kuweza kupatikana kutibu wagonjwa kumi. Cantaloupe iliyokuwa na mould katika soko la peoria,Illinois mwaka wa 1943 ilipatikana kuwa na hali bora kabisa na ya juu ya penicillin baada ya kutafutwa kote duniani. Ugunduzi huu wa cantaloupe,na matokeo ya utafiti ya fermentation kwa pombe steep iliyokuwa ya mahindi katika maabara ya utafiti ya Northern Regional,ya Peoria,Illinois,ilikubalisha Marekani kutengeneza milioi 2.3 ya maagizo ya dawa kwa wakati mzuri kwa ajili ya uvamizi wa Normandy wakati wa spring mwaka wa 1944. Uzalishaji kwa ukubwa ulisababishwa kutokana na maendeleo ya deep-tank fermentation ya mhandisi wa kemikali Margaret Hutchinson Rousseau. <ref name="ChemH">[48] Tamaduni ya Kemikali Kutengeneza tiba:Utengenezaji wa Penicillin kwa uwingi</ref>
 
[[FilePicha:PenicillinPSAedit.jpg|thumb|right|300px|Penicillin ilikuwa inatengenezwa kwa wingi mwaka wa 1944.]]
G. Raymond Rettew alitoa mchango muhimu katika vita ya Marekani kwa njia zake za kutengenezaa bidhaa ya kibiashara ya penisilini. <ref>
{{cite web
Mstari 63:
Hii haikuwa suluhu ya kutosheleza,kwa hivyo watafiti walitafuta njia ya kupunguza mwendo wa penicillin kutolewa mwilini. Walitarajia kupata molekuli ambayo ingeshindana na penicillin usafirishaji wa asidi organic inayohusika kwa kutoa vitu mwilini,kwa njia ambayo msafirishaji angetoa molekuli inayoshindana nayo na penicillin ingebakia. Ajenti iliyo uricosurici iliyokuwa probenecid ilionekana kuwa ya kupendekeza. Wakati probenecid na penicillin hutumiwa pamoja,probenecid kwa ushindani huzuia utoaji wa penicillin,kwa hiyo kuongeza kiwango cha penicillin na kwa kuongeza muda wa shughuli yake. Hatimaye,kuanza kwa mbinu za utengenezaji kwa uwingi na penicillin iliyokuwa semi-synthetik ilisuluhisha shida za supply,kwa hivyo utumizi huu wa probenecid ukapungua. Probenecid bado ni muhimu,ilhali kwa maambukizi fulani inayohitaji concentration za zuu mno za penicillins. <ref name="AMH2006">{{cite book | editor=Rossi S, editor | title=[[Australian Medicines Handbook]] | year=2006 | location=Adelaide | publisher=Australian Medicines Handbook | isbn=0-9757919-2-3}}</ref>
 
== Maendeleo kutoka penicillin ==
Nambari ndogo za magonjwa yanayotibika au spectrum ya shughuli ya penicillins,ikiambatana na kazi isiyokuwa nzuri ya dawa inayochukuliwa kwa mdomo ya phenoxymethlpenicillin,ilileta kutafutwa kwa aina nyinginezo za penicillin zinazotibu maaMbalimbali nyembamba ya magonjwa treatable au ''wigo wa shughuli'' za penicillins, pamoja na maskini shughuli za Erally kazi phenoxymethylpenicillin, wakiongozwa na kutafuta derivatives ya penisilini ambayo inaweza kutibu nyingi za maambukizi. Kutenganishwa kwa 6-APA,nuecleus ya penicillin,iliruhusu matayarisho ya semisynthetic penicillin,na uboreshaji zinginezo zilizopita benzilpenicillin(bioavailability,spectrum,utulivu,uvumilivu).
 
Mstari 70:
Maendeleo mengine ya mstari wa penicillins za kweli ilikuwa antipseudomonal penicillins,kama vile carbenicillin, ticarcillin, na piperacillin, muhimu kwa ajili ya shughuli zao dhidi }ya bakteria ya Gram-negative. Hata hivyo,umuhimu wa mviringo wa beta-lactam ilikuwa kama kwamba antibiotiki iliyoshirikiana nayo,ikiwa ni pamoja na carbapenems na,muhimu zaidi,cephalosporin,bado inaishikilia katikati ya muundo wao.
 
== Utaratibu wa utendakazi ==
{{Main|Beta-lactam antibiotic}}
 
Mstari 81:
Penicillins,kama antiboitik β-lactam zingine,huzuia sio tu mgawanyiko wa bakteria,ikiwa pamoja na cyanobakteria,lakini pia mgawanyiko wa cyanelles,photosynthetic organelles za glaucophytes na mgawanyiko chloroplasts za bryophytes. Kwa kinyume,hazina madhara kwa plastids za mimea za mishipa zilizokuwa na maendeleo sana. Hii inasaidia theory ya endosymbiotic ya mageuzi ya mgawanyiko ya plastid katika mimea ya ardhi.
 
== Tofauti katika matumizi ya kliniki ==
Neno "penicillin" mara nyingi hutumika katika maana ya generic kumaanisha moja ya spectrum nyembamba za penicillin,kwa hakika ,benzylpenicillin(penicilli G).
 
Mstari 89:
* Benzathine benzylpenicillin
 
== Athari mbaya ==
{{main|Penicillin drug reaction}}
Aina za kawaida za athari za dawa(≥asilimia 1 ya wagonjwa)zinazohusika na matumizi ya penicillin ni kuhara,hypersensitivity,kuhisi kutapika,vipele,neurotoxicity, urticaria na maambukizi ya hali ya juu zaidi.(pamoja na candidiasis) Aina za athari zisizokuwa za kawaida(asilimia 0.1-1 ya wagonjwa)ni pamoja na fever,kutapika,erythema,ugonjwa wa ngozi,angioedema,seizures,(hasa katika wenye kifafa),na pseudomembranous colitis.
 
== Utengenezaji ==
Penicillin ni metabolite sekondari ya fungus''Penicillium'' inayotengenezwa wakati kumea kwa fungus kunazuiliwa na dhiki. Haitengenezwi wakati wa kumea. Utengenezaji pia unapunguzwa na feedback kwa njia ya synthesis ya penicillin.
 
Mstari 107:
Katika miaka ya hivi karibuni, njia ya bioteknolojia ya mageuzi ilitumiwa kutengeneza kna mutation idadi kubwa ya aina za Penicillium. Mageuzi haya yalioenezwa ni pamoja error-prone PCR,DNA shuffling,ITCHY,na strand overlap PCR.
 
== Tazama pia ==
{{Commons category|Penicillin antibiotics}}
* β-Lactam antibiotik
Mstari 115:
* Penicillinase
 
== Marejeo ==
{{reflist|2}}
 
== Viunganishi vya nje ==
* [http://users.ox.ac.uk/~jesu1458/ Mfano wa Muundo wa Penicillin,na Dorothy Hodgkin et al,. Museum ya Historia ya Sayansi,Oxford]
* [http://www.youtube.com/watch?v=7qeZLLhx5kU Ugunduzi wa Penicillin,filamu iliyotengenezwa na serikali kuhusu ugunduzi wa Penicillin na Sir Alexander Fleming, na uendelezi ya maendeleo ya matumizi yake kama antibiotik na Howard Florey na Ernst Boris Chain.]
Mstari 126:
{{GABAergics}}
 
[[CategoryJamii:Antibiotik ya Beta-lactam ]]
[[CategoryJamii:Eli Lilly na Kampuni ]]
[[CategoryJamii:Magunduzi ya Scottish ]]
[[CategoryJamii:Microbiolojia]]
[[CategoryJamii:Sayansi na teknolojia wakati wa Vita Kuu ya Pili ya dunia]]
 
{{Link GA|eo}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|sl}}
{{Link FA|sr}}
{{Link GA|eo}}
 
[[af:Penisillien]]
Mstari 210:
[[war:Penicillin]]
[[wuu:青霉素]]
[[za:Cinghmoizsoq]]
[[zh:青霉素]]