Kikoongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ast, bn, br, ca, cs, da, de, eo, es, eu, fi, fr, gl, id, it, ja, kg, ko, ln, lt, nl, no, nov, pl, pms, pt, qu, ru, simple, sv, ta, tr, uk, wa, yo, zh
Kikongo
Mstari 1:
'''Kikoongo''' (pia: '''Kikongo''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] ambako niinahesabiwa lughakati ya lugha 4 za kitaifa. Kinazungumzwa na [[Wakoongo]]. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo nchini [[Angola]] na [[Jamhuri ya Kongo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kikoongo kiko katika kundi la H10.
 
==Viungo vya nje==