Umaru Yar'Adua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 674289 lililoandikwa na 137.222.118.114 (Majadiliano) - kuondoa marudiorudio
Mstari 4:
 
== Familia yake ==
Yar'Adua ni MwislamuMuislamu aliyezaliwa katika familia ya Wafulbe katika Nigeria ya Kaskazini. Babake Musa Yar'Adua alikuwa waziri katika serikali ya kwanza ya nchi baada ya uhuru. Kakaye jenerali Shehu Musa Yar'Adua alikuwa makamu wa rais chini ya Olusegun Obasanjo kati ya 1976 hadi 1979 akafungwa jela chini ya udikteta wa [[Sani Abacha]].
 
== Elimu yake ==