Umaru Yar'Adua : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 13:
=== Mwanasiasa asiye na rushwa? ===
Yar'Adua alisifiwa kwa sababu alitangaza mali
=== Gavana na shari'a ===
Alipingwa kwa sababu alishiriki katika tangazo la muundo wa [[shari'a]] ya Kiislamu kuwa sheria ya jimbo wakati yeye ni gavana; Katsina ilikuwa jimbo la tano katika Nigeria iliyotangaza shari'a. Pia kesi ya mama [[Amina Lawal]] ilitokea chini ya ugavana wake. Mama huyu alishtakiwa chini ya shari'a kuwa alimzaa mtoto ilhali hakuolewa akahukumiwa auawe kwa kupigwa
Yar'Adua anasemekana hakujaribu kumtetea wala kuzuia hukumu ya mauti.
|