Mkoa wa Singida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de:Singida (Region)
No edit summary
Mstari 3:
'''Singida''' iko kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]] ikipakana na mikoa ya [[Arusha]], [[Dodoma]], [[Iringa]], [[Mbeya]], [[Tabora]] na [[Shinyanga]].
 
Kuna wilaya nne za [[Iramba]], [[wilaya ya Manyoni|Manyoni]], [[Singida Vijijini]] andna [[Singida Mjini]]. Jumla ya wakazi ni mnamo milioni moja.
 
Singida ni kati ya maeneo maskini zaidi ya Tanzania. Uchumi wake ni hasa ufugaji, idadi ya ng´ombe hukadiriwa kuwa mnamotakribani milioni 1.4. Masoko hayako karibu barabara si nzuri. Kilimo si nzurikizuri kwa sababu ya hali ya mvua. Ukame huleta njaa. Singida ni kati ya mikoa inayotegemea misaada ya chakula.
 
Wakazi wa wilaya za Singida mjini na kijijini ni hasa [[Wanyaturu]]. Walio wengi Iramba ndio [[Wanyiramba]] na wakiwa [[Wagogo]] wengi huko Manyoni.
 
Pamoja na kuwa mkoa wa Singida umekuwa ukikumbwa na njaa kwa sababu ya ukame na hata pale mvua inaponyesha ni duni sana ina shughuli mbalimbali ambazo zinaingiza kipato kwa watu wa mkoa huo.IKiwa kuanzia miaka ya tisini (1990) na kuendelea mpaka sasa imekuwa madini ya dhahabu yakigunduliwa katika sehemu mbalimbali mkoani Singida japo kumekuwa aidha hakufanyiwi uchungizi wa kina kuhakiki kiwango cha hifadhi ya madini iliyopo katika eneo husika au huwa kiwako kilichopo ni kidogo hivyo kutokuvutia wawekezaji wakubwa katika maeneo hayo, kati ya madini ambayo yamewahi kugunduliwa katika mkoa wa Singida ni dhahabu ambayo imewahi kugunduliwa huko Londoni na Iruma wilayani Manyoni.
 
{{Mikoa ya Tanzania}}