Ujain : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: pl:Dźinizm
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Swastik4.svg|thumb|100px|[[Nembo]] la Ujain.]]
[[Picha:Mumbai Jain-Tempel.jpg|thumb|[[Sanamu]] ya Thirtankara hekaluni]]
'''Ujain''' au '''Jina Dharma''' ni [[dini]] yenye asili ya Kihindi[[Uhindi]] na wafuasi wake huitwa Wajain. Ilianzishwa mnamo mwaka [[500 KK. Kuna waumini milioni 6 duniani na zaidi ya nusu wako [[Uhindi]].
 
Kuna waumini milioni 6 duniani na zaidi ya nusu wako Uhindi.
Wajain hukumbukwa walimu 24 wa dini yao wanaoitwa "[[thirtankara]]". Thirtankar wa 24 alikuwa [[Mahavira]] wakati wa karne ya 6 KK anayetajwa mara nyingi kama mwanzilishaji wa dini ingawa wenyewe husema hakuna liyeanzisha hasa.
 
Wajain hukumbukwahukumbuka walimu 24 wa dini yao wanaoitwa "[[thirtankara]]". Thirtankar wa 24 alikuwa [[Mahavira]] wakati wa [[karne ya 6 KK]] anayetajwa mara nyingi kama mwanzilishaji[[mwanzilishi]] wa dini hiyo, ingawa wenyewe husema hakuna liyeanzishaaliyeanzisha hasa.
Kama [[Ubuddha]] ni dini isiyo na mafundisho kuhusu Mungu au miungu. Vilevile kama Ubuddha ilianzishwa katika mazingira ya Uhindu wa kale ikikataa tabaka za kidini jinsi ilivyo katika [[Uhindu]].
 
Kama [[Ubuddha]], hii ni dini isiyo na mafundisho kuhusu [[Mungu]] au [[miungu]]. Vilevile kama Ubuddha ilianzishwa katika mazingira ya [[Uhindu]] wa kale ikikataa ma[[tabaka]] zaya kidini jinsi ilivyo katika [[Uhindu]].
Ujain inalenga kwa ukombozi wa nafsi ya mwanadamu. Kwa ukombozi huu ni muhimu mtu ajifunze kujitawala kwa sababu kila tenda linafuatwa na mazao yake yanayoitwa [[Karma]]. Nafsi katika imani ya Kijain huzaliwa tena na tena katika mwili mpya na shabaha ni kutozaliwa tena lakinimkupata ukombozi na starehe ya milele. Nafsi au roho hizi haziko ndani ya watu pekee lakini pia ndani ya wanyama.
 
Ujain unalenga [[ukombozi]] wa [[nafsi]] ya [[binadamu]]. Kwa ukombozi huu ni muhimu mtu ajifunze kujitawala kwa sababu kila [[tendo]] linafuatwa na mazao yake yanayoitwa [[Karma]].
Kila tendo linalosababisha mateso kwa kiumbe mwingine linarudisha nafsi katika mzunguko wa kuzaliwa tena. Matendo yanayoharibu karma ya mtu ni hasa mauaji ya viumbe wenye nafsi.
 
Nafsi katika [[imani]] ya Kijain huzaliwa tena na tena katika [[mwili]] mpya, kumbe shabaha ni kutozaliwa tena, bali kupata ukombozi na [[starehe]] ya [[milele]].
Kwa hiyo Ujain hufundisha kuepukana na uhasama na kutomtendea yeyote kwa mabavu. Kwa sbabu hii Wajain hukataa kula nyama kwa sababu nyama inapatikana kwa njia ya kuua na kutesa wanyama ambao no ni makazi ya nafsi sawa na wanadamu.
 
Nafsi au [[roho]] haziko ndani ya watu pekee, lakini pia ndani ya [[wanyama]].
 
Kila tendo linalosababisha [[mateso]] kwa [[kiumbe]] mwingine linarudisha nafsi katika mzunguko wa kuzaliwa tena. Matendo yanayoharibu karma ya mtu ni hasa mauaji ya viumbe wenye nafsi.
 
Kwa hiyo Ujain hufundisha kuepukana na [[uhasama]] na kutomtendeakutomtenda yeyote kwa mabavu. Kwa sbabusababu hiihiyo Wajain hukataa kula [[nyama]], kwa sababukuwa nyama inapatikana kwa njia ya kuua na kutesa wanyama ambao nonao ni makazi ya nafsi sawa na wanadamu.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.davemckay.co.uk/philosophy/jainism Jainist Sutras Online]
{{mbegu-dini}}
 
{{mbegu-dini}}
completed in
 
[[Jamii:Dini]]