Kisotho-Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kisotho-Kusini''' ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasotho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:35, 31 Oktoba 2011

Kisotho-Kusini ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasotho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kusini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kusini kiko katika kundi la S30.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.