Kisasili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Mchoro wa Guercino kuhusu kisasili cha mlo wa miungu [[C...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:07, 31 Oktoba 2011

Kisasili ni habari inayotokeza imani na maadili ya utamaduni fulani kuhusu asili ya ulimwengu au ya mambo muhimu ya msingi katika maisha ya [[binadamu.

Mchoro wa Guercino kuhusu kisasili cha mlo wa miungu Cronos, Mars na Cupidus mbele ya mungu jike Afroditis (1624-1627 hivi).

Mara nyingi habari hiyo inatazamwa kuwa si ya kihistoria, ingawa inaweza kuwasilisha ukweli fulani.

Lugha nyingi zinatohoa neno la Kigiriki μύθος, mythos, likitamkwa myuthos.