Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Bongo Flava
Mstari 1:
'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni R&B, Rap, & Hip Hop. ni muziki wa mchanganyiko wa midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.
 
==Viungo vya nje==