Tofauti kati ya marekesbisho "Wapangwa"

1 byte added ,  miaka 8 iliyopita
d
r2.7.2) (roboti Badiliko: en:Pangwa language; cosmetic changes
d (→‎Viungo vya Nje: ainisha {{mbegu}} using AWB)
d (r2.7.2) (roboti Badiliko: en:Pangwa language; cosmetic changes)
Nyumba zao za asili kwa sasa ni za matofali ya udongo ya kuchoma na kuezekwa kwa bati, hata hivyo nyumba zao za asili zinajengwa kwa kutumia miti asili kugandikwa kwa udongo wa mfinyanzi na kuezekwa kwa nyasi aina ya hunji na lihanu.
 
Mavazi yao ya asili ni nguo zilitengenezwa kwa ngozi za wanyama pamoja na magome ya miti ya misambi ambayo hupondwapondwa,hufumwa na kupakwa mono.
 
Lugha yao ni [[Kipangwa]].
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=pbr Ethnologue]
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
 
[[en:Pangwa peoplelanguage]]
[[eo:Pangvaoj]]
[[uk:Пангва]]
43,985

edits