Kizio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sn:Chiyero chekupimisa
d r2.7.2) (roboti Badiliko: gl:Magnitude física; cosmetic changes
Mstari 5:
Zamani watu walikuwa na vizio vya upimaji tofauti kila mahali.
 
== Vipimo sanifu vya kimataifa ==
Tangu karne ya 19 kuna utaratibu wa [[vipimo sanifu vya kimataifa]] (SI) na vizio vyao ni vilevile kote duniani.
* Vizio vya upimaji wa [[urefu]] ni [[mita]], [[kilomita]] au [[sentimita]].
Mstari 12:
* kuna vizio vingine kwa kila tabia inayohitaji kupimwa.
 
== Vizio vingine ==
Vipimo vya [[SI]] vimekubaliwa zaidi na zaidi lakini si vyote katika kila nchii kwa sababu kuna bado desturi za kitaifa zinazopendelea vizio wanavyozoea tangu kale.
 
Mstari 21:
Vipimo hivi vya kale vilitegemea mara nyingi ukubwa wa mguu, mkono, urefu wa hatua kwa sababu hivi vilikuwa vipimo vilivyofanana kati ya watu. Isipokuwa baada ya kusanifisha vipimo asilia hivi ilionekana ya kwamba vilikuwa tofauti kati ya eneo na eneo au nchi na nchi. Kwa mfano katika Ujerumani palikuwa na vizio vya futi makumi kati ya urefu wa sentimita 25 hadi sentimita 33.5.
 
Tofauti hizi pamoja na mahitaji ya biashara yalisababisha kuundwa kwa utaratibu mpya wa vipimo sanifu kwanza vya kitaifa na baadaye vya kimataifa.
 
[[categoryJamii:Vipimo]]
 
[[an:Unidat de mesura]]
Mstari 43:
[[fi:Mittayksikkö]]
[[fr:Unité de mesure]]
[[gl:MagnitudesMagnitude físicasfísica]]
[[he:יחידת מידה]]
[[hr:Mjerna jedinica]]