Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ja:サフワ族
No edit summary
Mstari 1:
'''Wasafwa''' ni kabila kutoka eneo la milima ya [[mkoa wa Mbeya]], nchini [[Tanzania]]. Mwaka 1987 idadi ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=sbk]. Wako hasa katika wilaya za [[Mbeya vijijini]],[Mbeya mjini] [[Mbozi]] na [[Chunya (wilaya)|Chunya]] kwenye safu za milima ya [[Mbeya]] na [[Uporoto]]. Lugha yao ni [[Kisafwa]].[ichisafwa] kiongozi wao huitwa mwene mwene maarufu zaidi alikuwa mwene paul Mwashinga aliye kuwa tajiri na msomi vilevile alikuwa na makao makuu yake igawilo mbeya mjini na ali aga dunia mwaka 1987 msiba wake ulihudhuriwa na watu mashuhuri sana. mwene mwingine ni mwene Mwalyego wa mbalizi
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}