Albrecht Dürer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: kk:Альбрехт Дюрер
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Selbstporträt,_by_Albrecht_Dürer,_from_Prado_in_Google_Earth.jpg|thumb|Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498]]
'''Albrecht Dürer''' ([[21 Mei]], [[1471]] - [[6 Aprili]], [[1528]]) alikuwa [[mchoraji]] na [[mkata nakhshi]]] [[Ujerumani|Mjerumani]]. Alifahamika pia kama mtaalamu wa [[hisabati]], hasa [[jiometria]]. Ahesabiwa kama [[msanii]] muhimu zaidi wa [[zama ya mwamko]] katika [[Ulaya ya kaskazini]].
 
== Mitindo ya kazi ==
Sehemu kubwa ya kazi za Dürer ni chapisho za [[picha nakhshi]] katika [[ubao]] au [[shaba]]. Alichora pia [[picha]] kwa [[rangi za mafuta]] na [[rangi za maji]].
 
== Maisha ==
Dürer alizaliwa mjini [[Nürnberg]] alipoishi na kufa. Wakati ule Nürnberg ilikuwa [[mji]] tajiri wa [[biashara ya kimataifa. Baba yake alikuwa Mhungaria aliyemfundisha ufundi wa kuchonga dhahabu. Alipokuwa kijana alifanya matembezi ya miaka mitano katika Ujerumani, Uholanzi na Uswisi alipoboresha sanaa yake. Baadaye aliongeza safari ya kwenda Italia alipofanya kazi [[Venezia]]. na kuona mengi.
 
[[Baba]] yake alikuwa [[Hungaria|Mhungaria]] aliyemfundisha [[ufundi]] wa kuchonga [[dhahabu]].
1494 alifunga ndoa na Agnes Frey akafungua karakana yake. Kazi mashuhuri ya kwanza ilikuwa mfululizo wa picha nakhshi katika ubao 15 kuhusu [[ufunuo za Yohane]].
 
Alipokuwa [[kijana]] alifanya matembezi ya miaka mitano katika Ujerumani, [[Uholanzi]] na [[Uswisi]] alipoboresha [[sanaa]] yake.
Aliendelea kuchora picha nyingi za kidini juu ya hadithi na watu wa Biblia. Lakini alitafutwa pia na matajiri na wakubwa waliotaka picha yao. Kuanzia 1512 aliajiriwa mara nyingi na [[Kaisari Maximilian I]].
 
Baadaye aliongeza safari ya kwenda [[Italia]] alipofanya kazi [[Venezia]] na kuona mengi.
 
Mwaka [[1494]] alifunga [[ndoa]] na Agnes Frey akafungua [[karakana]] yake. Kazi mashuhuri ya kwanza ilikuwa mfululizo wa picha nakhshi katika ubao 15 kuhusu [[ufunuoUfunuo zawa Yohane]].
 
Aliendelea kuchora picha nyingi za kidini[[dini]] juu ya hadithi[[habari]] na watu wa [[Biblia]]. Lakini alitafutwa pia na matajiri na wakubwa waliotaka picha yaozao. Kuanzia 1512 aliajiriwa mara nyingi na [[Kaisari Maximilian I]].
 
Kuanzia mwaka [[1512]] aliajiriwa mara nyingi na [[Kaisari Maximilian I]].
 
=== Picha ===
 
<gallery perrow="5">
Image:Albrecht-self.jpg|''AutoportraitPicha ya sura yake mwenyewe''
Image:Albrecht Dürer 072.jpg|Picha ya Barbara Dürer<br />([[1490]]-[[1493]])
Image:Albrecht Dürer 057.jpg|Picha ya MwanaumeMwanamume mbele ya ukuta yenyewenye rangi ya kibichi ([[1497]])
Image:Dürer Oswolt Krel.jpg|Picha ya Oswolt Krel'' ([[1499]])
Image:Albrecht Dürer 076.jpg|Picha ya mtawala [[Frederiko wa Saksonia]]''' ([[1500]])
Image:Albrecht Dürer - Jakob Muffel - Google Art Project.jpg|Picha ya Jacob Muffel'' ([[1526]])
Image:Albrecht Dürer 002.jpg|''[[Adamu]] na [[Hawa]]''
Image:Durer_Young_Hare.jpg|''[[Sungura]]'' ([[1502]])
Image:Duerer-Prayer.jpg|''[[Sala]]'' ([[1508]])
Image:Durer Revelation Four Riders.jpg|[[Farasi]] nne za Ufunuo wa Yohane
Image:Albrecht Dürer 106.jpg|Bwawa msituni
Image:Albrecht Dürer Letter A 1528.png|[[Herufi]] A
Image:Narrenschiff.JPG|"Mashua ya majuha"
Image:Duerer - Ritter, Tod und Teufel (Der Reuther).jpg|''[[Mwanajeshi]], [[Kifo]] na Sheitani[[Shetani]]'' ([[1513]])
Image:DuererMuschellinie.png|Mchoro wa kijiometria
</gallery>