Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: nso:Ghana
kuondoa vigezo vya Kiingereza
Mstari 1:
{{Clearumbo}}
{{Distinguish|Guinea|Guyana|Ghana Empire}}
{{Infobox country
|conventional_long_name = Republic of Ghana
Mstari 66:
|calling_code = 233
}}
 
'''Jamhuri ya Ghana''' ni nchi iliyo Afrika Magharibi inayopakana na Côte d'Ivoire (Ivory Coast) katika upande wa magharibi, Burkina Farso upande wa kaskazini, Togo upande wa mashariki, na Ghuba ya Guinea upande wa kusini. Neno ''Ghana'' lina maana ya neno "Shujaa Mfalme,"<ref name="warriorking">Jackson, John G. ''Utangulizi Civilizations Afrika,'' 2001. Page 201.</ref> na lilikuwa chimbuko la jina “Guinea” (kupitia kwa Kifaransa ''Guinoye),'' ambalo limetumia kurejelea pwani ya Afrika Magharibi (na ambalo linaonekana kutumika katika Ghuba ya Guinea).
 
Line 192 ⟶ 193:
 
== Uchumi ==
{{Main|Economy of Ghana}}
[[Picha:50 cedis.jpg|thumb|right|200px|Sidi ya Ghana (Ghanaian Cedi)]]
Ikiwa imejaliwa sana na maliasili, nchi ya Ghana ina mapato yanayokadiriwa kupata kila mtu (per capita output) yaliyo mara mbili yakilinganishwa na yale ya nchi zilizo maskini zaidi za Afrika Magharibi. Hata hivyo, Ghana imebakia kutegemea kwa kiwango fulani biashara na usaidizi wa kimataifa na vilevile shughuli za uwekezaji kutokana na Waghana wanaoishi nchi za ng’ambo. Karibu 28% ya wakazi wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umaskini wa dola za kimarekani 1.25 kwa siku,<ref>''[http://hdr.undp.org/en/media/HDI_2008_EN_Tables.pdf fahirisi ya Maendeleo ya Binadamu,]'' Jedwali 3: Binadamu na umaskini wa kipato, s. 35. Rudishwa tarehe 1 Juni 2009</ref> na kwa mujibu wa wa Benki ya Dunia, kisio la mapato ya kila mtu (per capita income) ya Ghana yamekuwa mara dufu lakini kwa shida kwa miaka 45 iliyopita.<ref>{{Cite web |url=http://www.cnn.com/2009/WORLD/africa/07/10/ghana.obama/index.html|work=CNN|title=Obama's Ghana trip sends message across Africa|date=10 July 2009}}</ref>
Mstari 211:
 
== Jiografia ==
{{Main|Geography of Ghana}}
[[Picha:Aburi botanical gardens.jpg|thumb|right|160px|Bustani ya Aburi Botanical Gardens]]
[[Picha:VoltaRiverWithAdombeBridge183-1-.jpg|thumb|left|180px|Mto wa Volta]]
Line 225 ⟶ 224:
 
== Wasifu wa Wakazi (Demographics) ==
{{Main|Demographics of Ghana}}
[[Picha:TamaleGhana2.jpeg|thumb|left|160px|Tamale,Ghana|Barabara ya Bolga, Tamale]]
[[Picha:Ghana Larabanga mosque01.jpg|thumb|right|160px|Msikiti wa Larabanga, uliojengwa katika karne ya 13, Larabanga]]
Line 234 ⟶ 232:
 
=== Lugha ===
{{Main|Languages of Ghana}}
Zaidi ya lugha na lugha ndogo 250 huzungumzwa nchini Ghana. Lugha ya Kingereza ndiyo lugha rasmi na hutumika sana katika maswala ya serikali na biashara. Lugha hii vilevile ndiyo hutumika katika mafundisho ya kielimu. Lugha za kiasili za Ghana zimegawanywa katika jamii mbili ndogo za kilugha kutokana na jamii ya lugha ya Niger-Congo. Lugha za jamii ndogo ya Kwa zinapatikana zaidi katika maeneo ya kusini mwa Mto Volta, huku zile za jamii ya Gur zikipatikana katika eneo la kaskazini. Kikundi cha Kwa, lugha ambayo huzungumzwa na takribani 75% ya wakazi wa nchi, kinajumuisha lugha za Akan, Ga-Dangme na Ewe. Kikundi cha Gur kinajumuisha lugha za Gurma, Grusi, na Dagbani.<ref>{{Cite book|title=Ghana: A Country Study|editor=LaVerle Berry|year=1995|publisher=Federal Research Division, Library of Congress|isbn=0844408352|url=http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/ghtoc.html|pages=81–82}}</ref>
Line 345 ⟶ 342:
== Tazama pia ==
{{Lango|Ghana}}
{{Main|Outline of Ghana|Index of Ghana-related articles}}
 
* [[Jumuiya ya Madola]]
Line 353 ⟶ 349:
* [[Umoja wa Mataifa]]
* [[Uchukuzi Ghana]]
{{Clear}}
 
== Kumbukumbu ==
Line 387 ⟶ 382:
* Picha za Ghana katika Bigfoto.com
* Picha za Ghana katika City photos
 
{{Template group
|title = Articles Related to Ghana
|list =
{{Ghana topics}}
{{Ghana governments}}
{{Template group
|title = [[Picha:Gnome-globe.svg|25px]]{{nbsp}}Geographic locale
|list =
'''[[Geographic coordinate system|Lat. <small>and</small> Long.]] {{Coord|5|33|N|0|15|W|display=inline}} <font color="darkblue">(Accra)</font>'''
{{Countries of Africa}}
}}
{{Template group
|title = International membership
|list =
{{Member states of the African Union}}
{{South Atlantic Peace and Cooperation Zone}}
{{Commonwealth of Nations}}
}}
{{Template group
|title = Languages
|list =
{{Niger-Congo-speaking}}
{{English official language clickable map}}
}}
}}
 
{{Afrika}}