Jimbo Kuu la Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jimbo katoliki la Mbeya''' (kwa Kilatini Dioecesis Mbeyaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:14, 6 Novemba 2011

Jimbo katoliki la Mbeya (kwa Kilatini Dioecesis Mbeyaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.

Askofu wake ni Evaristo Marc Chengula.

Historia

Uongozi

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 60,348, ambapo kati ya wakazi 2,082,000 (2006) Wakatoliki ni 347,347 (16.7%).

Viungo vya nje