Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya''' ([[Kiing.]] '''International Classification of Diseases and Related Health Problems''' au '''UanishajiUainishaji wa Kimataifa wa Magonjwa Yanayohusiana na Matatizo ya Afya''', kifupi '''ICD''') ni orodha ya magonjwa yaliyopangwa katika utaratibu kufuatana namba zao.
 
Ni utaratibu unaokubaliwa kote duniani kwa kutaja na kurekodi magonjwa. Orodha hii inatolewa na [[Shirika la Afya Duniani]]. Kulikuwa na matoleo mbalimbali na toleo la kisasa ni ICD-10, toleo la 2006. Toleo jipya la ICD-11 inepangwa kwa mwaka 2015.<ref name="WHO ICD-11 Revision information">[http://www.who.int/classifications/icd/ICDRevision/en/ WHO ICD-11 Revision information]</ref>, ambayo itakuwa inapitiwa kwa kutumia [[Web 2.0]].<ref name=Wikipedia>[http://www.cbc.ca/health/story/2007/05/02/disease-wiki.html WHO adopts Wikipedia approach for key update<!-- Bot generated title -->]</ref>