Kombe la Mataifa ya Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.4) (roboti Badiliko: is:Afríkukeppni landsliða í knattspyrnu
d r2.7.2) (roboti Badiliko: it:Coppa delle Nazioni Africane; cosmetic changes
Mstari 18:
[[Misri]] ndiyo taifa iliyofanikiwa zaidi katika historia kombe hili kwani wana rekodi ya kushinda kombe hili mara sita. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameweza kunyakuwa ubingwa mara nne. Nyara tatu tofauti zimetunzwa katika historia ya shindano hili. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameshinda matoleo mawili ya kwanza baada ya kila timu kushinda shindano hili mara tatu mfululizo . Nyara iliyo sasa ilitunzwa mara ya kwanza mwaka wa 2002.
 
== Historia ==
=== 1950-60:uenezaji wa shindano la ANC ===
Chimbuko la Kombe la Mataifa ya Afrika lilikuwa mnamo tarehe Juni 1956, wakati uumbaji wa Confederation of African Football ulipendekezwa katika mkutano wa tatu wa bunge la [[FIFA]] mjini [[Lisbon]]. Kulikuwa na mipango ya haraka kwa mashindano ya mataifa ya bara kufanyika, na mwaka wa 1957 mwezi wa Februari shindano la [[kwanza]] la Kombe la Mataifa ya Afrika lilifanyika mjini [[Khartoum]], [[Sudan]]. Hakukuwa na mechi za kufuzu katika shindano hili , kwani uwanja ulikuwa na mataifa manne ambao ndio wanzilishi wa CAF (Sudan, Misri, Ethiopia, na Afrika ya Kusini). kukataa kwa Afrika ya Kusini kupeleka kikosi [[chenye wachezaji wa rangi tofauti]] katika ushindani kulisababisha wao kuadhibiwa na Ehiopia iliweza kufuzu katika fainali .<ref name="BBC-began">
Mstari 64:
Kabla ya [[Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2008]] vilabu vya ulaya viliomba kuwe na mabadiliko katika ratiba hiyo. Kwani shindano hili hufanyikan wakati sawa na michuano ya ulaya ambapo wachezaji wao wengi hawachezi kwani wako katika timu zao za nyumbani Katika Januari mwaka wa 2008, rais wa FIFA Sepp Blatter alitangaza kwamba yeye alitaka shindano kufanyika aidha Juni au Julai 2016, ilikuwa sambamba na kalenda ya kimataifa. Hii itasababisha shindano hili kutofanyika nchi nyingi katika Afrika ya kati na magharibi (kwani miezi hii huwa msimu wa mvua) na kama shindano hili litakuwa likifanyika miaka ilito sawa basi itabidi shindano hili kuskumwa katika miaka isiyo sawa ili kusiwe na mgogngano na shindano la kombe la dunia.
 
== Fomati ==
=== Kufuzu ===
Tangu 1962 kumekuwa na michuano ya kufuzu katika fainali . Kutoka 1962-1990 michuano hii ilikuwa na mechi za kurudiwa, na idadi ya raundi ilitegemea idadi ya timu zinazoshiriki Kuanzia 1994 kuendelea timu ambazo zina azma ya kufuzu hugawanywa katika makundi na kucheza na kila timu katika kundi iliyowekwa Mpaka mwaka wa 2006 ambako timu ya nchi ambapo shindano hili litafanyika na mabingwa tetezi zilifaulupapo Kwanzia mwaka wa 2008 timu itakayo fanya shindano hili ndio wanafuzu papo hapo.Fomati ya kufuzu katika shinano hili imekuwa ikibadilikabadilika .Kwanzia mwaka wa 2008 timu 11 ndizo zinazofuzu katika fainali ambazo zinagawanya katika makundi ambayo yana timu nne na moja timu tatu.
Timu zinazoshinda katika kundi ndizo zinafaulu na timu tatu zingine ambazo zina rekodi nzuri
 
== Taji ==
Katika historia ya Kombe la Mataifa, kumekuwa na aina tatu za taji ambazo zimepatianwa .Kombe la kwanza mbalo lilikuwa la fedha, lilijulikana kama '''" Kombe la Abdelaziz Abdallah Salem ",''' ambalo ilikuwa jina lake rais wa kwanza wa kutoka [[Misri]] jenuari [[Abdelaziz Abdallah Salem]]. Baada ya ushindi wa tatu katika Kombe la Mataifa [[Ghana]] iliweza kumiliki kombe hilo mwaka wa 1978.<ref name="BBC-Newtrophy">
{{Cite web
Mstari 91:
{{-}}
 
== Matokeo ==
{| class="wikitable" style="font-size:90%;text-align:center"
|-
Mstari 352:
** <u>adhabu</u> - ''baada [[Penalti]]''
 
== Takwimu ==
=== Nchi zilizoshinda Michuano Mingi ===
[[Picha:Africa cup of Nations champions as of 2008.svg|thumb|300px|Ramani wa idadi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika]]
Mstari 1,044:
|}
 
== Tazama pia ==
{{Col-begin}}
{{Col-1-of-3}}
Mstari 1,055:
{{Col-end}}
 
== Marejeleo ==
<references></references>
 
== Masomo zaidi ==
* [http://www.fifa.com/en/print/article/0,4039,10769,00.html Mkuu Adventure ya African Football] [[(FIFA)]]
* [http://www.sis.gov.eg/En/Society/acup/History/091302000000000001.htm Historia ya kombe la Mataifa ya Afrika tangu mwaka 1957] (Misri State Information Service)
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.cafonline.com/ Confederation Africaine de Football]
* [http://www.chelseafc.com/page/AfricanCupOfNations Kombe la Mataifa ya Afrika habari kutoka Chelsea FC]
Mstari 1,101:
[[id:Kejuaraan Sepak Bola Afrika]]
[[is:Afríkukeppni landsliða í knattspyrnu]]
[[it:Coppa delle nazioniNazioni africaneAfricane]]
[[ja:アフリカネイションズカップ]]
[[ka:აფრიკის ეროვნებათა თასი]]